Hivi ni kweli umasikini ni kurithi au ni kujiendekeza?

Huko juu ulianza vizuriiii, lakini ulipofika chini chini huku ukaharibuuuuuu
 
Kwasasa nmebase kwenye biashara ila tangu nina miaka 13 mpaka now 22 miaka kumii ila bado inanisaidia katika biashara zangu.
Binafsi siamini hili, lakini neno langu siyo sheria, nawaachia wanaoweza amini hili
 
Mkuu, nimefuatlia na kuelewa vizuri. Naomba nifundishe programming, nawezaje kuwa mtaalamu wa hizo vitu. Am interested on PCs issues like designing and hardware maintenance, please give me ABCs
Programming na issue za hardware maintenance ni vitu tofauti mkuu, chagua upande japo waweza sukuma vyote lakini binafsi sikushauri hivyo
 
Kua mwelewa huko kulinipa uelewa zaidi ila sijasema nimeingiza 400m huko ila mali ninazomiliki ni 400m huko kulinipa pesa baadhi ambayo niliitumia vizuri kuniwezesha kuvuna zaidi ila pia niliingia katika biashara katika umri huo mdogo.
Maelezo yako ni kama swala la Covid nchini Tz, kuelewa lipi ni lipi ni kazi sana
 
ndo shida ya matajiri.
Uwa wanawaona masikini NI wazembe.
Mnasahau kuwa maisha yana "hasi na chanya"
 
Mchango mzuri sana kiongozi,cha kuongeza mtu akifanikiwa tu kidogo anawaona wasiofanikiwa hawana akili au wavivu pasipo kutambua umasikini ni neno pana sana

Sent from my itel A44 using JamiiForums mobile app
 
Unaamka asubuhi saa kumi na moja unaenda kazini siku nzima unarudi home na 15,000 au 20,000.

Kuna mwenzio anaamka saa sita mchana anajiandaa anaenda kazini kufikia saa kumi na moja tayari amerudi home ametulia na kaingiza zaidi ya 600,000 na hajachoka kama ulivyochoka wewe wa kuingiza 10k-20k kwa siku.

Utofauti ni misingi ya uwekezaji.

Unalia njaa kuna mwenzio anatumia 200,000 au zaidi kwa siku kama bajeti ya nyumbani.

Usishindane na mtu na elewa watu wanatofautiana, kikubwa weka jitihada katika kujenga misingi imara na kufanya maamuzi sahihi ya wapi uwekeze.

Kuna watu wataona haya niliyoandika chai, endelea ku-hustle bila kujua una hustle kutafuta nini.
 
Huenda anaingiza,kuna watu nawajua wanafanya online business kwa siku wanalala na 23M to 60M so kutengnz hy 400M kwao ni simple Tu
Mkuu kama ni kweli mbona wewe hukushawishika kufanya hio online business?
 
Mwandiko wako tu na jinsi unavyojibu hoja inaonekana upo sebuleni kwa shemeji.
 
Mchango mzuri sana kiongozi,cha kuongeza mtu akifanikiwa tu kidogo anawaona wasiofanikiwa hawana akili au wavivu pasipo kutambua umasikini ni neno pana sana

Sent from my itel A44 using JamiiForums mobile app
Shukran kiongozi. Kweli kabisa, inabidi kuwa na nidhamu maana sio kila masikini amependa kuwa masikini, kwasababu yapo mambo mengi sana yaliyobebwa na hilo jina "umasikini" na pia ni mambo mengi sana yanayoweza kusababisha huo umasikini.
 
Huwaga nakuelewa Sana hakika ndani Yako Kuna vitu potential.....
 
Unatuonaje kutudanganya
 
Yote mawili ni majibu sahihi
 
Empty vessels make the loudest noise - Mwenye kuelewa ataelewa (kwa hisani ya 400M)
Huyu jamaa ukichunguza kwa makini unaweza kukuta bado anakula ugali wa shkamoo
 
Jf kwenye ubora wake,kila mmoja ana gari na yumba hakuna maskini JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…