Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kazi kweli kweli mwenye hii I'd kazi ipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ipo jikite kuangalia vidoleTunaangaliaga miguu😄😄🏃🏿♀️hii ya viganja ngoja nilifanyie utafiti
Yereuwiiii [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Vipi sasa vidole vyako vinaendana na mkuyenge unaomiliki mkuu? Tena utakua umekomaa huo mkomavu[emoji3]
Jibi swali mkuuYereuwiiii [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji124][emoji124][emoji124]Jibi swali mkuu
Suala la Mama Samia kumbambikizia Kesi Mbowe, wewe halikuumizi kabisaaa ?Kuna uhusiano wowote kati ya mwanaume kuwa na viganja vikubwa na ukubwa wa uume wke? Yani mwanaume akiwa na viganja vikubwa vya mikono na uume wake unakuwa mkubwa? Hii ipo na ukweli ati? View attachment 1862779