mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Hiyo ni imani yako mkuu. Upo sawa kwa mtazamo wako.Wachawi wapo uswahilini kutwa kushinda vibarazani tu, hususani wanawake wanaroga [*******] wateja wakubwa wa mambo hayo ya shirki na ulozi kwa waganga wa kienyeji ni wanawake.. kuanzia asubuhi mpaka jua linazama unakuta vibibi na wanawake wa makamo na vibinti vimeshinda tu vibarani km sio vibarazani chini mti kuangalia kila anaepita ukipita tu wanaanza kuwanga kukuongelea yule hivi yule vile na huko ndio kuroga kwenyewe sasa, wewe ulifikiri kuroga mtu hadi akaubebee matunguli wakati waganga siku hizi wananyuka suti na wana ofisi kali.. maongezi yao ni nazi nazi nazi unajua kazi ya nazi ?
Sio imani sio mtazamo ndio ilivyo kuishi kwingi kuona mengi..Hiyo ni imani yako mkuu. Upo sawa kwa mtazamo wako.
Bado sana wewe!U are still evolving to modern human!Kama kitu hakijawahi kukukuta shukuru acha mambo yabaki kama yalivyo ila kuchomana miba kupo sana huku mitaani ni vile tu siyo kila mtu amekutana na hii situation au ipo namna fulani inamsaidia.
Bila shaka ukienda maeneo mengine duniani utakuta watu wasioamini hayo mambo. Watakuwa na imani zao.Sio imani sio mtazamo ndio ilivyo kuishi kwingi kuona mengi..
Anayeamini Mungu yupo sharti aamini na uchawi upo😄😄 maana yote ni ya kiroho zaidiUnaniambia upo bila kuleta uthibitisho ? Mimi sitaki kuamni tu , kwa umri wangu na uzoefu wa maisha naona ni imani tu basii na ndivyo ilivyo .
Kumbe wewe unajua ninachoongelea evil eyes (vijicho) kujitoa ni kuomba kwa imani yako tu hivyo vijicho vikupitie mbali.. yaan ukiwa na hali ya chini wamo ukiwa na hali ya juu wapo piaNi namna gani mtu anaweza jitoa katika tabu hii ya vijicho?
Mimi naona mbona kama lazima kuwe na jitihada tu🤔Ni jambo linalokujia bila jitihada au kujipanga sana.
Mfano mama au baba yako awe kiongozi mkubwa kwa hiyo akupachike sehemu au akupe dili la biashara au connections.
Mfano muende kufanya usahili watu 2000 kwa kazi ya kawaida tu watu lakini 10 ndio wanaohitajika, hapo unaweza kukuta hata 1000 wana vigezo vya kufanya hiyo kazi lakini watakaochaguliwa ni 10 tu.
Imani za Mungu na imani za uchawi na shetani zote hizo ni imani tuAnayeamini Mungu yupo sharti aamini na uchawi upo😄😄 maana yote ni ya kiroho zaidi
Eeeeewaaa maana Kuna mtu hapo atakuambia Mungu yupo ila uchawi haupoImani za Mungu na imani za uchawi na shetani zote hizo ni imani tu
Ni dunia nzima wapo usiseme maeneo mengine.. evil eyes ni dunia nzima wapo unaweza msaidia mtu kwa wema asitosheke akakuletea ukijicho yule nae anajiona sana yule vile yule hivi nitamkomesha.. shida inaanzia hapo yakupasa uwe strong kuwashindaBila shaka ukienda maeneo mengine duniani utakuta watu wasioamini hayo mambo. Watakuwa na imani zao.
Mleta mada Top Gun anatakiwa ajiulize anaamini nini atapata jibu lake.
Turudi nyuma kidogo , Kipindi cha kina mkwawa wa uhehe , wangeona hata tunavyochati hapa wangeona ni uchawi wa kutisha mnoEeeeewaaa maana Kuna mtu hapo atakuambia Mungu yupo ila uchawi haupo
Kumbe unaamini halafu unatuuliza kama ni kweli... Waulize wenzio wanaoamini, mimi siamini.Ndugu kuna njia asili ya kujitoa gundu la vijicho?
Unaamini kwamba ukikanyaga ufa unavunja mgongo wa mama yako?Ni dunia nzima wapo usiseme maeneo mengine.. evil eyes ni dunia nzima wapo unaweza msaidia mtu kwa wema asitosheke akakuletea ukijicho yule nae anajiona sana yule vile yule hivi nitamkomesha.. shida inaanzia hapo yakupasa uwe strong kuwashinda
Wewe unaongelea kitu tofauti.. hapo ni sawa na wale wanaosema mwanamke mjamzito akila mayai atazaa mtoto mwenye mdomo wa sungura au mwenye kichwa kikubwa [mythical]Unaamini kwamba ukikanyaga ufa unavunja mgongo wa mama yako?
Ni kama tunavyosoma story za mwanamalundi ukute by that time ndo technology expert wa kipindi hicho now tunamwona alikua mchawi kwanini wachawi wa sasa wasifanye aliyokua anafanya? Sema haya mambo Magumu sana 🤣🤣Turudi nyuma kidogo , Kipindi cha kina mkwawa wa uhehe , wangeona hata tunavyochati hapa wangeona ni uchawi wa kutisha mno