gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,557
- 7,302
Kinachokuroga ni ubongo wako, ubongo unanguvu Sana kila kitu huanzia katika fikra, ukiwa na negative nyingi kuliko positive lazima tukio litokee, nafsi ni mhuni Sana anatabia ya kuchezea ubongo Kwa kupushi negativity nyingi kuliko positive kwakua nafsi anatamaa na ni mvivu. Hivyo wewe Kama unajambo lako lipushi Kwa positive words na mategemeo ya positive lazima litakua lakin ukichanganya kidogo TU negative latikua negative, refer namba yoyote ukiizidisha TU na negative lazima negative itokee Hata Kama linamba ni lipostive kikubwa, tumia hio formula,.
Kuhusu uchawi upo lakini uchawi Hauna madhara Hata kikusanyike Kijiji kukuroga ila Mungu apende TU kukupa mtihani au wewe mwenyewe uaccept negative kua walichofanya kina madhara Kwako hapo utakua umeruhusu mwenyewe. Kwakua umeruhusu negative iingie hivyo ubongo utahamia kukamilisha negative inayotawala wakati huo,
Nakumbuka kipindi tunasoma ukiwa hutaki kwenda shule unajifanya unaumwa unajilegeza matokeo yake inakuchapa homa kweli ya maana unalala Hata week kitandani.