Hivi ni kweli watu wanarogwa wasipige hatua za kimaendeleo?

Hivi ni kweli watu wanarogwa wasipige hatua za kimaendeleo?

Mkuu ni ngumu sana kuthibitisha uwepo wa uchawi,, hata wewe huwezi, kwa kifupi tu naomba ukaniroge na uniambie baada ya kuniroga nitakuaje ili niamini.
Ili ukatangaze Kalaga baho mwanga au?
 
Mkuu ni ngumu sana kuthibitisha uwepo wa uchawi,, hata wewe huwezi, kwa kifupi tu naomba ukaniroge na uniambie baada ya kuniroga nitakuaje ili niamini.
Yani uchawi dunian kote unafahamika kwamba ni debate kubwa dhidi ya sayanyi. Spirits haielezeki kwenye standard ya empiricism. Ila conclusion ya debate hii inafikiwa mpaka na wewe ufikiwe. Angalia movie flani hiv inaitwa Malicious au talk to me utaelewa vizuri
 
Kinachokuroga ni ubongo wako, ubongo unanguvu Sana kila kitu huanzia katika fikra, ukiwa na negative nyingi kuliko positive lazima tukio litokee, nafsi ni mhuni Sana anatabia ya kuchezea ubongo Kwa kupushi negativity nyingi kuliko positive kwakua nafsi anatamaa na ni mvivu. Hivyo wewe Kama unajambo lako lipushi Kwa positive words na mategemeo ya positive lazima litakua lakin ukichanganya kidogo TU negative latikua negative, refer namba yoyote ukiizidisha TU na negative lazima negative itokee Hata Kama linamba ni lipostive kikubwa, tumia hio formula,.

Kuhusu uchawi upo lakini uchawi Hauna madhara Hata kikusanyike Kijiji kukuroga ila Mungu apende TU kukupa mtihani au wewe mwenyewe uaccept negative kua walichofanya kina madhara Kwako hapo utakua umeruhusu mwenyewe. Kwakua umeruhusu negative iingie hivyo ubongo utahamia kukamilisha negative inayotawala wakati huo,

Nakumbuka kipindi tunasoma ukiwa hutaki kwenda shule unajifanya unaumwa unajilegeza matokeo yake inakuchapa homa kweli ya maana unalala Hata week kitandani.
Hizo huwa ni ishara tu ya kujiandaa. Ndo maana unaumwa kweli.
 
Vijana msidharau mitishamba. Wanawake kwa sasa wanatuvuruga sana kwa sababu wanazingatia mno mitishamba. Vijana mnalia NDOA NGUMU (KATAA NDOA) kwa sababu dada zenu hawadharau mitishamba. Wakati mko bize kujadili primier league na siasa za nchi, dada zenu wako kwa wataalam kutafuta namna ya kuwanyoosha.

USHAURI WANGU: Jitahidi ujue mambo ya mitishamba ila jitahidi pia usiwe addiected. Kuna watu wakishaanza wanajikuta hata akipiga chafya anakimbilia kwa mtaalam kucheki.
 
Yani uchawi dunian kote unafahamika kwamba ni debate kubwa dhidi ya sayanyi. Spirits haielezeki kwenye standard ya empiricism. Ila conclusion ya debate hii inafikiwa mpaka na wewe ufikiwe. Angalia movie flani hiv inaitwa Malicious au talk to me utaelewa vizuri
kuna methali inayosema ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze..Mkuu naamini imani yako kwenye uchawi kuna jambo lilikupata tupe ushuhuda tujifunze.
Kwa miaka mingi niliyoishi duniani sijawahi kukutana na changamoto yoyote niliyoiamini inatokana na uchawi, lakini changamoto hizohizo wapo waliozipata na wakazihusisha na uchawi.
 
Imani kuu zote zina amini uwepo wa uchawi kuanzia mani za kitamaduni kimila au dini za asili za ukoo,na hata hizi dini kuu mbili tulizoletewa na wazungu na waarabu..

kuna vyuo vingi duniani hata hapa Afrika vinqvyofundisha elimu ya uchawi .

Asiye amini uwepo wa uchawi atakuwa ni sibkiumbe wa sayari hii ya dunia.
Kama ni mwanadamu tena mmbantu mwafrika aseme yey haamini uchawi aulize mababu zake mabibi zake wajomba na mashangazi baba na mama zake ,kabila lao labda akane na asili yake ...lakini kama anajua historia yake ...uchawi ni FACT iliyo obvious very open SIO myth wala sio OPINION...uchawi UPO very common ni kitu kipo ,mtu anayepunga uchawi akaulize kwenye chimbuko la UKOO wake ..aulize KABILA LAKE atapata majibu.
ni kitu common kama MAJI huwezi kujiuliza MAJI yapo au hayapo..
 
View: https://youtube.com/shorts/xUOI5_lcSsE?si=aTvSZAIIQ3uExSRy

View: https://youtube.com/shorts/PTsJr8_kfVI?si=osJXQM6xneMHx1dM
 
Back
Top Bottom