Hivi ni kweli watu wanarogwa wasipige hatua za kimaendeleo?

Hivi ni kweli watu wanarogwa wasipige hatua za kimaendeleo?

Mwezi uliopita mtu kalazimishwa aende amsalimie bibi anyesadikiwa kuwa ni mchawi,analazimishwa aende ampe mkono akakataa mara tatu..

baadae akaenda akampa mkono wa salamu..haikupita muda mkono ukaanza kumuuma ukiambatana na homa..

akapiga simu akamwambia ma mdogo wake mamdogo nilikataa kumpa mkono huyu bibi mama yeke mama mdogo ukanilazimisha ..ona sasa nimempa mkono sasa naumwa ,msiniue na uchawi wwnu mi nategemewa nina watoto wadogo ja familia ..

kufipisha ndani ya masaa sita akafa ,na mbaya..kwa kuzidiwq kuumwa muda ulivyo ongezeka toka amempa mkono yule bibi na alikuwa anakataa akalazimishwa...zaidi ya mara nne anaambiwa nenda tu kampe mkono bibi yupo nje kwe gari amekuja kukusalimia..

alizidiwa kuumwa kwa haraka homa na maumivu akakimbizwa hospitali hakupata nafuu akakimbizwa hopitali ya misheni ..kubwa ya wilaya hakipata nafuu akafa na hospitali hawakuona tatizo baada ya kumpima .

unajua kwa nini hata hawa wasanii mafrimansory japo ni wachawi lakini pia na wao kwa wao wanaogopana na kukataa kupeba mikono mana uchawi unazidiana.

unajua kiroho..mikono imebeba ..mafanikio yako utajiri heshima na wingi wa siku zako au uhai wako..

KUNA watu walikuwa wamelala ndani wakajikuta wamelazwa nje au makaburini..

HIVI ni nani anayewadanganya kuwa uchawi HAUPO tena mbantu mwenzetu ana sema UCHAWI HAUPO..SERIOUSLY??

UCHAWI NI KITU KIPO KIKONGWE is ana old kitu like a pain..nani hajui kuwa kuna maumivu..ukishika moto unaungua.

katika uli
 
kuna methali inayosema ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze..Mkuu naamini imani yako kwenye uchawi kuna jambo lilikupata tupe ushuhuda tujifunze.
Kwa miaka mingi niliyoishi duniani sijawahi kukutana na changamoto yoyote niliyoiamini inatokana na uchawi, lakini changamoto hizohizo wapo waliozipata na wakazihusisha na uchawi.
Ndio mna nasema lazima ukutane nao ndo uamini nje ya hapo huwezi kuamini. Binafs siwez kutumia nguvu kukutongoza ukubali, just relax! Siku ikifika utaamini isipofika bas huwez kupunguza chochote kwenye spiritual world
 
Angalia ndoto unazoota huwa zina ujumbe unaoonyesha umekwama wapi. Mi naamini kabisa kuna kukwama kunakotokana na mambo ya kiroho, sio lazima uwe umerogwa. Mfano kuna roho zinaitwa territorial spirits, ni roho enyeji za eneo ulilopo, zikikukataa kutoboa ni ngumu, unashangaa ukihama hapo unatoboa
Kuna ancestral spirits, maroho ya huko kwenu ulikotoka nk, nk
 
Back
Top Bottom