Wana mashaka na wanacho kiamini ila wanataka kuendelea kubaki kuamini, ila wanataka wasikie wengine wanasemaje ila kujazia nyama waamini zaidi😆Kumbe unaamini halafu unatuuliza kama ni kweli... Waulize wenzio wanaoamini, mimi siamini.
Kiongozi sio kweli haya mambo yapo.Kama hujapata kuona au namna yoyote utasema ni hadithi za kusadikika na utakuwa sawa.Hizo ni imani za mlala hoi, acheni visingizio.
Kuna watu wanaamini sasa. Ni mitazamo yao. Binadamu tunatofautiana mitazamo. Naona umenielewa.Wewe unaongelea kitu tofauti.. hapo ni sawa na wale wanaosema mwanamke mjamzito akila mayai atazaa mtoto mwenye mdomo wa sungura au mwenye kichwa kikubwa [mythical]
Stories nyingi za wahenga ni za uongo ila kuvutia rekodi za kiutalii tuNi kama tunavyosoma story za mwanamalundi ukute by that time ndo technology expert wa kipindi hicho now tunamwona alikua mchawi kwanini wachawi wa sasa wasifanye aliyokua anafanya? Sema haya mambo Magumu sana 🤣🤣
Nayaweza yote katika yeye anitiae nguvu, ukimuamini mungu na kumtumainia yote hayo ni mambo madogo kwako.Kiongozi sio kweli haya mambo yapo.Kama hujapata kuona au namna yoyote utasema ni hadithi za kusadikika na utakuwa sawa.
Zamani nilikuwa nikipigwa kamba na watu kwamba kuna mtu sijui kaona jini mrefu sijui wakati akiendesha gari alipandisha demu mkali baada ya kushuka mara mchizi anaona demu ana kwato(kiufupi sana nilikuwa na chukulia kama story za kusukuma muda)
Siku nimeona jini ndio akili ikaanza kuamini baadhi ya narrations za watu kuhusu mambo yanayoitwa ya kusadikika.So amini haya mambo yapo
Na ubaya wa uchawi kama mungu tu, huwezi kuamin mpka ukutane nao. Mm uchawi niliubishia kama wewe hivyo nikaja nikauona ndo mpaka sasa. Na situmii nguv kukuaminisha mkuu ipo siku ikitakiwa kuamin utauona tuUnaniambia upo bila kuleta uthibitisho ? Mimi sitaki kuamni tu , kwa umri wangu na uzoefu wa maisha naona ni imani tu basii na ndivyo ilivyo .
Nenda umakondeni mkuu usiongee sanaImani za Uchawai/ Ushirikana/ Uganga zimejaa Tanzania yote, labda watu wa Kusini wao hawajifichi tu au kuonea aibu hayo mambo kwa hiyo wanafanya kwa wazi tofauti na wengine wanaoifanya kwa kificho.
Tembea ujionee mkuu usiongee masuala ya kukua kwa miji na urbanizations.Kuna maeneo hapa Tanzania miaka 20 iliyopita yalikua hayana maendeleo na waliamini sababu ni uchawi na husda lakini baada ya ongezeko la watu wa kutoka nje ya maeneo hayo wameziona fursa ambazo wenyeji walikua hawazioni kwa kuamini uchawi.
Wapo watu wachache wanaotoboa kwa jitihada kubwa( hiyo ni exception), Mimi naongolea kwa ujumla, mfano wale mliokuwa nao wote darasani waliokuwa wanakuwa Top ten kila mara sio kwamba walikuwa wanasoma na kukesha zaidi kuliko wengine, wengi utakuta walikuwa wanasoma kawaida tu kama wanafunzi wengine ambayo ndio hiyo jitihada wewe unaiongelea. Sasa kama ni hiyo jitihada ya kawaida swali litakuja kwa nini wenzao waliokuwa wanapiga msuli sana hawakuwa wanakuwa Top Ten au TO?Mimi naona mbona kama lazima kuwe na jitihada tu🤔
Ndugu kuna njia asili ya kujitoa gundu la vijicho?
Sitaki kuamini nataka kujua ,huko kwenye kuamini nilishafanya hivyo sasa nataka nijueNa ubaya wa uchawi kama mungu tu, huwezi kuamin mpka ukutane nao. Mm uchawi niliubishia kama wewe hivyo nikaja nikauona ndo mpaka sasa. Na situmii nguv kukuaminisha mkuu ipo siku ikitakiwa kuamin utauona tu
Sahihi kabisa Mungu yupo ila uchawi haupo ni mazingahombwe tu na ujanja ujanjaEeeeewaaa maana Kuna mtu hapo atakuambia Mungu yupo ila uchawi haupo
Mkuu ni ngumu sana kuthibitisha uwepo wa uchawi,, hata wewe huwezi, kwa kifupi tu naomba ukaniroge na uniambie baada ya kuniroga nitakuaje ili niamini.Tembea ujionee mkuu usiongee masuala ya kukua kwa miji na urbanizations.
Ishawahi nikuta ndo nikaamini uchaw upo,Unakuta mtu kila unachoshika hakishikiki
Na unakuta umewekeza akili, jasho na damu lakini wewe unakuwa tu wa mkia.
Wajuvi wa mambo karibuni