Hivi ni kweli Wizara ya Ardhi imeshindwa kutatua kero za wapangaji nchini?

Hivi ni kweli Wizara ya Ardhi imeshindwa kutatua kero za wapangaji nchini?

Kupanga siyo lazima na uhakika maombi yako kwa serikali ayawezi kupata kibali nyumba yangu unipangie tena napangisha wale wanaoendana na masharti yangu tu ukishindwa jiondokee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi huko???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu waangalie pia na upande hotel, lodge na hivi vigesti bubu, haiwezekani kahotel flani kako pale karibu na road interchange kachumba kadogo, ac fake, tv chenga, simu ni PBX wanatoza elfu 40??


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi isiishie kuweka kanuni tu kwenye nyumba walizojenga wengine bali ihakikishe inadhibiti pia mfumuko wa bei kwenye viwanja,vifaa vya ujenzi na vifaa feki na pia iweke miongozo kwa mafundi ujenzi siyo wanajipangia tu.
 
Kingine kinauma ni kachumba ka kawaida unalipa 80000/= hujakaa sawa kuna kulipa umeme hapa ndo nalia kilasiku umeme haukai unajikuta kwa mwezi umenunua umeme wa nusu kodi pembeni bill ya maji inasubiri [emoji22]. Natamani ingekuwa upatikanaji wa luku ungekuwa rahisi kila mmoja angeishi kwa matumizi yake, maana mwenye nyumba na familia yake wanashinda na mikanda ya lufufu asubuhi-jioni [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini gharama kama kumewashinda mnarudi tu vijijini mtu anunue kiwanja mwenyewe ajenge sasa hivi tofali moja ni 1500 weka cement ,mchanga kokoto na mambo mengine kibao halafu eti uje upange kodi kiasi gani? Ni kichekesho kwenye hivyo vifaa tu vya ujenzi nimekatwa kodi kweli kweli bado sijalipia kodi ya majengo,kodi ya kiwanja halafu analalamika pambaneni tu ukiona dar kodi kubwa hamia kigoma au mkoa wowote ukiona mjini hukuwezi kajenge ya kwako kijijini huko.
 
Ikiwa mpangaji ukishindwa kulipa on the spoti iwe umejifukuzisha nyumba pia


Ukishindwa mwenye nyumba akufukuze on the spoti

Maana wapangaji wengi chai pia.....wanavusha tarehe za kulipa ...otherwise watujengee nyumba za kutosha NHC tukapange huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom