Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Ndio Wakenya wamechanjwa mkononi pembeni ya kiwiko,hii njia imetumika sana kufahamu nani Mbongo nani Mkenya.kwani ni watanzania tu wenye chanjo ya ndui mabegani? au wengine wanachanjwa sehemu nyingine?
mkononi pembeni ya kiwiko
Ndo maana nikauliza,,, kwa ufahamu niliokua nao mimi ni kwamba ni chanjo, lakini mayb i am wrong, that is why i asked if kuna something more detailsSi umeshasema hapo juu ni chanjo ya Ndui?
Thanx sana kwa kuendelea kutufumbua macho bro...Ndio Wakenya wamechanjwa mkononi pembeni ya kiwiko,hii njia imetumika sana kufahamu nani Mbongo nani Mkenya.
ningekueleweshaje ukaelewa manake huwezi chanja kiwiko chenyewe.Hivi kuna kiwiko cha mguuni au kichwani?
wa kenya wana ndui ya mkon kushoto
Wazambia na Malawi wana ndui pia...

ya wapi?mbona inaonekana ni wa tz tu.hasa ya mkoo wa kulia?

kwa nini watanzania iwe maarufu
ya wapi?mbona inaonekana ni wa tz tu.hasa ya mkoo wa kulia?
kwa nini watanzania iwe maarufu
nimesahau kuhusu malawi... Wazambia nafikiri ni pajani.... Kama sikosei...
umeona
kwa hiyo inawezekana true watu wenye ndui ya mkono wa kulia
dunia nzima ni watanzania tu?????
Pajani????mhhhhh