Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Pole sana.. Kama huna hiyo alama... Wewe siyo mTz wewe utakuwa wa jirani..
 
Chanjo ya TB inasaidia mtoto asipate ugonjwa huo au kama akiugua basi isilete madhara makubwa!
u
Ukiugua TB basi jua kinga yako dhidi ya ugonjwa huo imeshuka na ndiyo maana siku hizi ukiugua TB tunakupima na HIV pia....sina maana wenye TB wote wana HIV!

Chanjo ziko za aina nyingi!kulikua na magonjwa makubwa 5 ambayo yalisababisha vifo vingi kwa watoto umri chini ya miaka 5 na kutokana na chanjo hizo siku hizi ni nadra kuayasikia na karibu yanatokomezwa(Kifaduro,donda koo,pepo punda nk)
Asante kwa Elimu Mkubwa... Umeniongezea Maarifa na Elimu yangu yote hii sikuwa bado kusikia. Ubarikiwe sana.
 
Ngedere mkubwa labda kama ulizaliwa juzi, lakini sisi tuliocheza tayari bado na mama yako iko kushoto!
Juz ni lini mkuu??
Watanzania ipo kulia mkuu my b watanganyika nyie kushoto

Kuna tofaut kubwa sana ila mm sina alama kushoto,watu kumbe ni wazee humu alafu wanatukana watt bila maerekezo ndio wazee wasasa tunawadharau
 
Kwa hiyo unataka kusema wenye TB wote wana Ngoma!!!

Mbona wapo wana TB bt hawapo Immuno Suppresed...!
Ni ngumu kupata TB kama uko immunocompetent. Pamoja na hayo, sababu za immunosupression ni nyingi, UKIMWI ni moja wapo
 
Hiyo siyo chanjo mkuu ni alama ya mtanzania iliyobuniwa na wakoloni kutofautisha wakoloni Wa Tanzania na Wa mataifa mengine, mfano wakenya hawachomwi begani ila ni katikati ya mkono. Hiyo ilwasaidia wakoloni kutofautisha watz na wakenya
Nchi zote africa zina mdui ila zinatofautiana na ukikamatwa ma police kama wana wasi wasi wewe sio raiya ukajifanya mzaliwa wa nachingwea wakati umetokea nchumbiji watakugundua tu kwa kutizama hizo ndui.
 
Juz ni lini mkuu??
Watanzania ipo kulia mkuu my b watanganyika nyie kushoto

Kuna tofaut kubwa sana ila mm sina alama kushoto,watu kumbe ni wazee humu alafu wanatukana watt bila maerekezo ndio wazee wasasa tunawadharau
Wazee mkuu wanaanzia miaka mingapi? Maana hata yule aliyezaliwa mwaka 1979 iko kushoto, Je! huyu naye utamwita Mtanganyika huyu?
 
Kwanza sijaona hatari yoyote ya kiusalama hapo, lakini pia Watz wanachanjwa kulia na si kushoto. Pengine wewe si Mtz na unajistukia hahahahah
Bila shaka tusio WATANZANIA tuko wengi! Maana hata mimi ipo kushoto. Na hawa wenye makovu pande zote ndio wa taifa gani?
 
Kwema humu,

Hivi alama ya ndui ni chanjo au ni alama ya nini? Kama ni chanjo hakuna sehemu nyingine ya kupigwa chanjo zaidi ya huo mkono wa kulia?
 
Siyo lazima kulia nishakutana na mtu ana ndui bega la kushoto.
 
Back
Top Bottom