Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

* Je huchomwa bega la kulia tu?
*Kwanini huwa inatoa nundu kubwa,au wanatumia Yale masindano ya wanyama
* Je watu wote duniani huchomwa?, na Je ni hapohapo begani?
*Ni nani aligundua hiyo chanjo na kwanini.
Mje mtuelimishe huku wajuvi.
 
!
!
Niliwahi kusikia mahali kuwa hiyo ilikuwa ni kama alama tu kwa wanainchi ili wajulikane kiurahisi, lakini haikuwa na lolote la kitabibu.
 
Mimi baada ya kuniweka ndui moja nikaongeza ndui za kwangu kama 20 ivi, ukiangalia mkono wangu upo full dotted,
 
Small pox vaccine it's given to prevent it. Administration is via punches at the left arm below the elbow which leaves scar. The disease is eradicated now
 
Small pox vaccine it's given to prevent it. Administration is via punches at the left arm below the elbow which leaves scar. The disease is eradicated now
Mbona yangu ipo kulia ??
 
Habari za muda huu wadau,

Naleta mapendekezo kwa Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwamba ni vyema sasa tukatafuta utaratibu mwingine wa kutoa chanjo ya ndui kwa sababu za kiusalama.

Hii chanjo kwa sasa imekuwa kama alama ya mtanzania hii ni sawa na mfugaji kuweka alama yake katika mifugo jambo ambalo ni hatari sana kwa usalama wa taifa letu.

Kila mtanzania ukimkagua kwenye bega la kushoto ana alama hii ni hatari sana.

Ningeshauri Serikali kuja na chanjo ambayo haiachi alama kwenye bega kwa sababu niliyoieleza hapo juu.
Nashukuru endapo Serikali italifanyia kazi wazo langu.
 
Back
Top Bottom