Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?




Huu ndo ulibidi uwe Uzi na Uzi uwe comment .

Very sorry Brother , hope you shall overcome.
 
Pole!
Uzuri ni kwamba umeajiriwa, ila tatizo lako siyo hao wategemezi bali tatizo ni wewe mwenyewe.

Tatizo lako linalokusumbua ni huruma, yaani unawahurumia ndugu zako na unasahau kujihurumia mwenyewe.

Hivi unawezaje kuwawazia watu wengine kabla ya nafsi yako?

Kuzaliwa kwenye umasikini siyo kosa lako bali kosa lako ni kuendekeza umasikini.

Kama hao ndugu zako miaka nenda rudi wameshindwa kujitegemea, wewe utaweza kuwalisha?

Sisemi usiwasaidie bali jijenge kwanza wewe kwanza ukishakuwa imara ndipo unaweza kuwapa kilichobaki!

Chukua hatua fanya kazi wekeza kwenye asset achana na mambo ya kupambania watu waliyoshindwa kujipambania!

Ndugu wenyewe ndiyo hawa wa Kiafrika?
 
Kua na subra + uvumilivu mshukuru mungu kwa ulicho nacho ndicho mungu amekupa..

Wewe unatakiwa upelekwe kutembelea wodi za MIFUPA, UKIMWI , CANCER ujue thamani ya afya na uhai...

Kuna watu wanasema Asante mungu kwa pumzi maana mengineo Niya ziada TU..

Kuna watu wapo mtaa hawana kazi wanatamani hata hiyo kazi yako ya UWALIMU WAKO WA GRADE A

Jifunze ku COUNT your BLESSINGS
 
Pole
Anza na kutoa ten percent kwa Mungu Ili usiwe unaishiwa ishiwa na pesa kila mara kama sasa!!

Tafuta huduma ambayo unaweza kuisapoti kisadaka halafu uwe unamdai Mungu kile ulichomtolea akubariki!!

Mf.unaweza mchagua Mwl jacob Steven (huduma ya kristo)au unyakuo tv au Rudisha tv ya Josephat Gwajima au whatever nenda YouTube utaziona namba zao!!

Halafu ukishatoa usiku ukiamka just pray a simple prayer!!

"Nimekutolea Mungu was Mtumishi ........(taja jina lake) naomba unijibu nimechoka umaskini huu nilionao naomba Baraka zisizo Isha kama chem chem!!!

Utashangaa my friend akaunti Yako haitoishiwa na pesa jutahidi unachopata uweke na akiba kidogo,endelea kumuonba mungu juu ya nyumba ya kuishi nzuri Gari na mengineyo huku kuna biashara update ya kufanya!!

"The days of small beginnings" by Zac poonen!!

Usidharau mwanzo mdogo unaoanza nao friend!!!

TRUST ME HAKUNA KAZI NZURI KAMA UWALIMU MKUU,HUZEEKI MAPEMA YOU ENJOY LIFE WITH BOYS AND GIRLS LIKE FRIENDS"

UNATAKA UKAE OFISIN MUDA MREFU UFE KWA SUKARI NA PRESSURE!!?

NIMEANDIKA KUTOKA KWA HEART TAKE IT!
 
Mkuu kila binadamu yupo na majanga yake bila kuzingatia katokea familia poa au la! Nikikupa ya kwangu utajiona champion kwa nafasi yako mkuu. Japo nipo na kila kitu cha kawaida kwa maisha ya mtanzania.
 
Samahani mkuu, Mungu ni maskini mpaka ahitaji pesa kwa binadamu? Na zinamfikiaje? Na anatumiaje?
 
Kama we mwalim ungeomba zile ajira ya kuandikisha daftar la kupiga kura usingekosa milion moja then ukalipa madeni na kuanzisha biashara yyte ile
 
Sheria
Ishi chini ya mshahara wako
Panga bajeti ya kipato chako. Kila pesa unayotumia itoke ndani ya bajeti
Acha kusaidia watu, wewe bado masikini. Acha kabisa
Save pesa inayobaki usiiguse hata uwekewe bunduki kichwani
 
Very Inspirational and motivational comment. Hadi nimetoa machozi nakuja PM una madini makubwa
 
Nicheki inbox
 
Mkuu nasikia zipo karibu na kutangazwa mm najiandaa kuaply mbona wanikatisha tamaa sasa
 
Inakuaje unategemewa na watu watano je ni walemavu?
 
Kwanza hakikisha nyumbani wanalima chakula Cha kutosha m kusaza.

Usiwape kila kitu wanachokitaka. Wape vile basic tu.
 
Hakuna aliefungwa kudaiwa mkuu cha msingi tuliza akili, angalia kiasi chako cha pesa unachoingiza tengeneza bajeti weka kiasi kwa ajili ya matumizi yako, wategemezi wako na wadeni wako.
Bora dunia nzima ikukatie tamaa lakini ni mwiko kujikatia tamaa
 
Sasa mwaya ukiacha kazi madeni yataisha,na familia utaimudu kweli bila kazi?cha msingi waza namna ya kukuza kipato chako,tafuta biashara fanya,fuga na lima.mtaani hakufai aisee,heri nusu Shari kuliko Shari kamili.
Toka miaka 14 hadi leo 47,sijui kuna rangi gani sijaona.
Sijawai kukata tamaa,ni piga nikupige.
Sasa wewe unalia saa hii,watu tunahudumia familia nzima ya wazazi na watoto kibao tunakomaa wasome.
We huna changamoto jikaze.
Na hatuna ajira ni Street life kutifuana tu mtaani mpk kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…