Hiyo tunachukia wewe na mimi tu.Habari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.
Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza 'hao wanaopigana hapo baadae watakuja kupatana' au ' huyo hapo baadae atakufa'
Hii tabia kiukweli inakera sana unatamani umtie vibao huyo anayeongea maana mimi ukishaniambia hivyo hamu yote ya kuangalia movie inakata. Nianze kuangalia nini tena wakati nimeshajua mbele kinatokea nini?
Halafu hii ipo sana kwa watu wa uswahilini sijui tupoje yaani
Umeandika hivyo nikajenga picha flan hivi amazing ya jinsi mnavyoishi, pia nikaweza kukadiria umri wako unarange kwenye miaka ipi.Nina mdogo wangu anatabia hiyo..akianzaga kelele zake namkata jicho mwenyewe anakaa kimya..siipendi hiyo tabia na inakera mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
πUmeandika hivyo nikajenga picha flan hivi amazing ya jinsi mnavyoishi, pia nikaweza kukadiria umri wako unarange kwenye miaka ipi.
Cheers,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kitu nachukia Kama maswal wakati tunaangalia movie mwngne anaweza kuuliza itakuaje Sasa
Wakati movie tumeanza kuangalia wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ni kweli kabisa.......umenikumbusha pale Drive inn cinema enzi zile...jamaa walikuwa wanachosha sanaHabari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.
Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza 'hao wanaopigana hapo baadae watakuja kupatana' au ' huyo hapo baadae atakufa'
Hii tabia kiukweli inakera sana unatamani umtie vibao huyo anayeongea maana mimi ukishaniambia hivyo hamu yote ya kuangalia movie inakata. Nianze kuangalia nini tena wakati nimeshajua mbele kinatokea nini?
Halafu hii ipo sana kwa watu wa uswahilini sijui tupoje yaani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
You take advantage lol. ... ndomana unapenda muvi za kuogopesha ogopesha kumbee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kudandiana
Ahsante mpendwa
Tuwekee picha ya hilo jicho tuoneNina mdogo wangu anatabia hiyo..akianzaga kelele zake namkata jicho mwenyewe anakaa kimya..siipendi hiyo tabia na inakera mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu kwenye hii profile picture ni wewe? Nimefall hakyamungu vile!Nina mdogo wangu anatabia hiyo..akianzaga kelele zake namkata jicho mwenyewe anakaa kimya..siipendi hiyo tabia na inakera mno.
Sent using Jamii Forums mobile app