funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Yah ni kweli wapo watu wa hivyo na wala sio uswahilini tu hata nchi za watu kuna wenye tabia hiyo. Mie pia mtoto wangu wa mwisho ana hiyo tabia tumemkanya sana aache baadae tukona ndio alivyo yaani ukisema uweke mieleka WWW anakutajia nani kashinda na alishinda vp kwenye movie ndio usiseme
Mie nina tabia moja nikataka kuangalia movie lazima nisome "plot" yake kwanza nijue mwanzo mwisho ndio nakuja kuiangalia
Mie nina tabia moja nikataka kuangalia movie lazima nisome "plot" yake kwanza nijue mwanzo mwisho ndio nakuja kuiangalia