Hivi ni mimi tu ndio nakereka na hii tabia au tupo wengi

Yah ni kweli wapo watu wa hivyo na wala sio uswahilini tu hata nchi za watu kuna wenye tabia hiyo. Mie pia mtoto wangu wa mwisho ana hiyo tabia tumemkanya sana aache baadae tukona ndio alivyo yaani ukisema uweke mieleka WWW anakutajia nani kashinda na alishinda vp kwenye movie ndio usiseme

Mie nina tabia moja nikataka kuangalia movie lazima nisome "plot" yake kwanza nijue mwanzo mwisho ndio nakuja kuiangalia
 
Habari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.

Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza 'hao wanaopigana hapo baadae watakuja kupatana' au ' huyo hapo baadae atakufa'

Hii tabia kiukweli inakera sana unatamani umtie vibao huyo anayeongea maana mimi ukishaniambia hivyo hamu yote ya kuangalia movie inakata. Nianze kuangalia nini tena wakati nimeshajua mbele kinatokea nini?

Halafu hii ipo sana kwa watu wa uswahilini sijui tupoje yaani
Hiyo tunachukia wewe na mimi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana... Mimi kelele za binadamu hua hazinisumbuagi...

Mambo yake hua namuachiaga mwenyewe...

Napenda kuangalia movie na mwanamke (mahondaw ) muoga, akatishika kama kweli vile, full kukumbatiwa, kudandiwa...

Cc: mahondaw
 
Dah ni kweli kabisa.......umenikumbusha pale Drive inn cinema enzi zile...jamaa walikuwa wanachosha sana
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

You take advantage lol. ... ndomana unapenda muvi za kuogopesha ogopesha kumbee!

Poleni sana... Mimi kelele za binadamu hua hazinisumbuagi...

Mambo yake hua namuachiaga mwenyewe...

Napenda kuangalia movie na mwanamke (mahondaw ) muoga, akatishika kama kweli vile, full kukumbatiwa, kudandiwa...

Cc: mahondaw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia porn tuone kama atasimulia huko mbele itakuwaje??
 
Back
Top Bottom