Hivi ni mimi tu ninayekerwa na hawa polisi wenye mitutu ya bunduki barabarani!??

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,480
Reaction score
38,367
Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi!

Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa wageni?

Je nyie ambao mnapita kila siku barabarani mnaichukuliaje hii hali? Je tutaenda hivi mpaka lini!? Ni kwamba tumeamua kuwa taifa la kulindwa na mitutu ya bunduki? Ina maana hii nchi imekosa kabisa watu wenye akili timamu wa kututoa hapa tulipo!??
 
✍🏿
 
Kama ni sehemu ya kazi acha wabebe, ila hofu yangu ni kwamba wale bwana akili hawanaga wale! Wakibishana kidogo tu wanatumia silaha....nchi kama DRC ni nchi ambayo hukuti askari hana bunduki na risasi nyiingi na zingine zimevaliwa kifuani ila hazitumiki kuua raia hata iweje! Kuna soldier mmoja alipigwa banzi na raia mmoja naangalia hivi ila waliishia kukunjana kwa ngumi tu 😄 ila nlicheka lile banzi alilowekelewa yule soldaa kutoka hapo nikajifunza vitu vingi sana ukilinganisha na vyombo vya usalama vya kwetu
 
Polisi wa kawaida hawakutakiwa kubeba SMG, walitakiwa kua na Pistol tu for emergence ila tumeiga jeshi la mkoloni na kwa vile tunapenda jeshi liogopwe ndo hivo tena

Aisee kazi ipo
 
Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi!

Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa wageni?

Je nyie ambao mnapita kila siku barabarani mnaichukuliaje hii hali? Je tutaenda hivi mpaka lini!? Ni kwamba tumeamua kuwa taifa la kulindwa na mitutu ya bunduki? Ina maana hii nchi imekosa kabisa watu wenye akili timamu wa kututoa hapa tulipo!??
Sasa ww unakereka nini we unajipitia zako huna tatizo lolote au ww mwizi
 
Alitahadharisha Gwajima. Hawakumsikiliza.

Hao anguko lao liko karibu. Nchi imevimba mno. Itawapasukia
 
Back
Top Bottom