Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

Kumbe ntafanya hivyo ili aache kunisumbua
 
Kimbia unatumika, wanaume waongo hapo wanarudi kwa faida zao binafsi za kimwili..!!

Hakuna kosa kubwa km kumrudia mtu uliyeachana naye, utatumika coz anakuona Wewe mwenyewe hujithamini (Mama huruma) inshort anakuona cheap


Kingine hauko serious, unawachekea chekea ndiomana wana guts mpk za kukueleza hizo pumba zao..!!
 
😂😂😂😂😂
 
Mimi ni mwanaume lakini nina hili. Mwanamke unapoachana na mtu wako, hasa kama makosa ni yake, usikubali kurudi nyuma kwa sababu inaonysha kabisa hupendwi. Mtu ameenda kuhangaika huko halafu anarudi anakwambia eti ''hajaona kama wewe''! Muulize, ''kama ungeona kama mimi'' au zaidi yangu ungerudi? Na ukisharudi ''ukija kuona tena kama mimi'' hutaondoka tena?
 
Km kweli vilee!! Naunga mkono hoja.
 
Dah! Kweli Itabidi niwa ignore, sitajibu text wala kupokea simu
 
Nimemuona ni muongo na tapeli, sitampa nafasi tena
 
Km kweli vilee!! Naunga mkono hoja.
Sio km huo ndio ukweli, wanaume wanataka kumchezea mwanamke ambaye hajitambui..!!

Na usipokuwa makini ataoa na wewe utaendelea kuwa mchepuko wake. Kisha atakupa sababu za kijinga.

Atakufanya sehemu yake ya kupunguzia stress pindi husiano lake au ndoa yake inapomvuruga..!!

Dawa ni kumkataa km Simba walivyomfanyia Msigwa 😹😹
Una balance shobo akafie mbele..!!
 
Siwezi kumkubali miaka yote hiyo amehangaika weee ndo arudi kwangu
 
Dah! Kweli Itabidi niwa ignore, sitajibu text wala kupokea simu
Kumbe unapokea na simu zao? 😳
Mimi ex wangu tulisumbuana kukatiana mawasiliano, nikimblock anatumia namba nyingine. Alianza mpk kunifatilia kila ninachofanya, hapana yule mwanaume alijua kuninyoosha..!!

Mwenzio nilitamani kuhama nchi ili nipumue lakini mwisho nilikaza nikaona ananizoea..!!
Mpaka leo sitaki mazoea na mtu, na hapa sio km hanisumbui anaendelea ni vile simchekei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…