Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

Ni miaka mitatu nyuma, sasa hii wiki ameanza kunisumbua anataka kurudi, vimeseji vya mahaba kila dakika, naonaga anapoteza muda tu kwangu mimi ni bora kuanza upya kuliko kuwa naye.
Amekosa pa kutombea muelekezee machimbo yalipo hatokutafuta kamwe nakwambia
 
Mkuu unaendeleaje lakini?

Jamaa amekumbuka kiporo anataka aichangamshe kwanza.

Kama una uhitaji pia usimbanie jamaa
 
Hehehehe

Mkuu usimfanyie hivyo. Kuachana sio vita mkuu.
Bado mnaweza kusaidiana
 
Sis na wazee wasemeje?
We sema umepata shem anakuweka busy [emoji81]
[emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana hapana mdogo wangu majukumu yamezidi mpaka mtu unasahau kuingia jfb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…