Hivi ni mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani

Hivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?
Biashara za uchuuzi? si bure Wazunhu wanakuja tu na Laptop ila wanandola na nagunie ya pesa.Menatality za Watanzania asilimia 97 wanawaza uchuuzi tu
 
Biashara za uchuuzi? si bure Wazunhu wanakuja tu na Laptop ila wanandola na nagunie ya pesa.Menatality za Watanzania asilimia 97 wanawaza uchuuzi tu
Wazungu hao wanaokuja na laptop wakatoboa bila kuwa na mtaji mkubwa ni kwamba wanarusha nyimbo na muvi kwenye flash za watu?
 
Maksmbako iwe sawa na buseresere huko Bwanga......twende kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…