KAma uliitembelea zamani makambako Kaa kimya hizo Ndo fremu mambo yame changeVifremu vya Makambako ni kama vibanda ya kufugia njiwa😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAma uliitembelea zamani makambako Kaa kimya hizo Ndo fremu mambo yame changeVifremu vya Makambako ni kama vibanda ya kufugia njiwa😁
Picha hizo hapo juu zimeletwa na mk boyBila picha mkuu
Biashara za uchuuzi? si bure Wazunhu wanakuja tu na Laptop ila wanandola na nagunie ya pesa.Menatality za Watanzania asilimia 97 wanawaza uchuuzi tuHivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?
Mhii vikindu tena kuna barabara gani nzuri za mtaa huko nadhani hujaelewa mada.iIko wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani
Wazungu hao wanaokuja na laptop wakatoboa bila kuwa na mtaji mkubwa ni kwamba wanarusha nyimbo na muvi kwenye flash za watu?Biashara za uchuuzi? si bure Wazunhu wanakuja tu na Laptop ila wanandola na nagunie ya pesa.Menatality za Watanzania asilimia 97 wanawaza uchuuzi tu