Hivi ni mkoa gani hata kwa dawa huwezi kwenda kuishi uko[emoji24][emoji24]??

arusha aiseee maana unakutana na watu wanamiguu mikubwa sana duniani kote maana si kwa mabuti yale🤣🤣🤣🤣🤣
Siku ya kwanza mdogo wangu kafika Arusha nimetoka kumpokea ananiuliza mbona sioni hao wanaoitwaga machalii wa kuvaa mabuti na mashati makubwa 😅😅
 
Siku ya kwanza mdogo wangu kafika Arusha nimetoka kumpokea ananiuliza mbona sioni hao wanaoitwaga machalii wa kuvaa mabuti na mashati makubwa [emoji28][emoji28]
Ungempeleka cha ngarenaro Depal au Kilombero
 
Mikoa yenye baridi kali.. Niliishi Mbeya miaka hiyo. Niliteseka sana.. Ngozi yangu haipatani na baridi kali.. Cjui ingekuwaje kama ningezaliwa Ulaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…