Hivi ni mkoa gani hata kwa dawa huwezi kwenda kuishi uko[emoji24][emoji24]??

Hahaa mbna naskia bora Kageraa Sumbawanga wako fire mbaya mbovu
Katika nchi hii sijawahi ona watu wakarimu Kama wa sumbawanga... Unajua kwanini nikiwa mgeni mi na wenzangu 99 tulifukuzwa shule kwa siku 21 tukaenda mjini sumbawanga , tukakatibishwa na mama mmoja mwenyekiti tukaishi hapo kwa siku hizo zote .. isitoshe siku ya mwisho akatufutia wazazi feki wa kuripoti nao shuleni
 
Siku ya kwanza mdogo wangu kafika Arusha nimetoka kumpokea ananiuliza mbona sioni hao wanaoitwaga machalii wa kuvaa mabuti na mashati makubwa [emoji28][emoji28]
sasa si ungempeleka kwa hapo Ngalimi faster.[emoji28]
 
Katika nchi hii sijawahi ona watu wakarimu Kama wa sumbawanga... Unajua kwanini nikiwa mgeni mi na wenzangu 99 tulifukuzwa shule kwa siku 21 tukaenda mjini sumbawanga , tukakatibishwa na mama mmoja mwenyekiti tukaishi hapo kwa siku hizo zote .. isitoshe siku ya mwisho akatufutia wazazi feki wa kuripoti nao shuleni
Hahaha
 
Afrika nzima nchi ya Tanzania ndio inawatu wakarimu.. karibu mikoa yote tanzania ni wakarimu.
 
Back
Top Bottom