Hivi Ni Mpaka Wafe Watu Wangapi Mbagala Ndio Serikali Ichukue Hatua?

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,512
Reaction score
2,508
Hii barabara ya mwendokasi ya kupita Mbagala Kila uchwao inaleta ajali, watu wanakufa kila mara bila sababu za msingi na serikali ya mtaa, kata, wilaya, kuu zote zipo na zinajua kinachoendelea. Maana ni wao ndio wameifungulia hii barabara ili gari zipite.

Hii barabara haina alama yoyote ya usalama, madereva hawafati sheria. Ni vifo mara kwa mara.

Leo hii asubuhi imetokea ajali mbaya sana eneo la msikitini (picha) na inasemekana ni watu wengi wamefariki ikiwemo madereva wote wawili. Kana kwamba haitoshi eneo hilo hilo jana ilitokea ajali. Haitoshi tena leo mchana wa saa 6 ajali nyingine barabara hiyo

Hilo eneo la kipati, na watu wawili kuhofiwa wamefariki papo hapo waliokuwa wamepakizana mishkaki kwenye pikipiki iliyoanguka nao kukanyagwa na fuso. Jioni hii tena maeneo ya Kipati, ajali ya bus na bajaji. Asante Mungu hakuna vifo.

SERIKALI YETU SIKIVU, HILI NI MPAKA LINI???
Screenshot_20250318_192714_Instagram.jpg
 
SERIKALI YETU SIKIVU, HILI NI MPAKA LINI???View attachment 3275472
 
Attachments

  • FB_IMG_17375278620527460.jpg
    FB_IMG_17375278620527460.jpg
    302.5 KB · Views: 29
Shida sio serikali shida madereva ya mbagara wana matatizo ya Afya ya akili tena hayo magari ya kisemvule sijui nani huwa anawapa leseni za udereva.
 
Tanzania ilitakiwa kuwe na sheria kali dereva yoyote atakaye sababisha ajali kwa uzembe anafutiwa leseni ya udereva na kifungo juu.
 
Ila mbagala napo! Wale wamakonde wanaofanya biashara barabarani pale rangi 3 bado wapo? Nikienda kule najikuta sipo salama kabisa
 
Hii barabara ya mwendokasi ya kupita Mbagala Kila uchwao inaleta ajali, watu wanakufa kila mara bila sababu za msingi na serikali ya mtaa, kata, wilaya, kuu zote zipo na zinajua kinachoendelea. Maana ni wao ndio wameifungulia hii barabara ili gari zipite.

Hii barabara haina alama yoyote ya usalama, madereva hawafati sheria. Ni vifo mara kwa mara.

Leo hii asubuhi imetokea ajali mbaya sana eneo la msikitini (picha) na inasemekana ni watu wengi wamefariki ikiwemo madereva wote wawili. Kana kwamba haitoshi eneo hilo hilo jana ilitokea ajali. Haitoshi tena leo mchana wa saa 6 ajali nyingine barabara hiyo

Hilo eneo la kipati, na watu wawili kuhofiwa wamefariki papo hapo waliokuwa wamepakizana mishkaki kwenye pikipiki iliyoanguka nao kukanyagwa na fuso. Jioni hii tena maeneo ya Kipati, ajali ya bus na bajaji. Asante Mungu hakuna vifo.

SERIKALI YETU SIKIVU, HILI NI MPAKA LINI???View attachment 3275472
Hain shida nyoya moja limenyonyoka kwenye mwili wa kuku mama mi5 tena
 
Shida sio serikali shida madereva ya mbagara wana matatizo ya Afya ya akili tena hayo magari ya kisemvule sijui nani huwa anawapa leseni za udereva.
Mkuu suluhisho ni nini kuzuia hizi ajali zaidi ya kuifunga hiyo barabara tajwa?
 
Nini inachochea ajali kuwa nyingi eneo hilo? Alama tu za babarabarani kutokuwepo? Kama ni hivyo basi serekali inafanya uzembe ni imeshindwa kufanya uadilifu katika hilo
 
Mkuu suluhisho ni nini kuzuia hizi ajali zaidi ya kuifunga hiyo barabara tajwa?
Ni nani ameifungua yaani kwa madereva hawa vichwa maji unafungulia barabara ya
mwendo kasi mtu anaendesha kama kwamba yupo kwenye mashindano ya udereva.
 
Mzee utasema hakuna serikali, inasikitisha sana. No one cares watu kufa
 
Back
Top Bottom