Kwani wasira anasemaje ndio ccm mzee kutoa ushauri wa ccm ndani ya ccm
Manyani kazini. Tukiitwa sisi manyani tunarusha ngumi.Kwani wasira anasemaje ndio ccm mzee kutoa ushauri wa ccm ndani ya ccm
Hii barabara ya mwendokasi ya kupita Mbagala Kila uchwao inaleta ajali, watu wanakufa kila mara bila sababu za msingi na serikali ya mtaa, kata, wilaya, kuu zote zipo na zinajua kinachoendelea. Maana ni wao ndio wameifungulia hii barabara ili gari zipite.
Hii barabara haina alama yoyote ya usalama, madereva hawafati sheria. Ni vifo mara kwa mara.
Leo hii asubuhi imetokea ajali mbaya sana eneo la msikitini (picha) na inasemekana ni watu wengi wamefariki ikiwemo madereva wote wawili. Kana kwamba haitoshi eneo hilo hilo jana ilitokea ajali. Haitoshi tena leo mchana wa saa 6 ajali nyingine barabara hiyo
Hilo eneo la kipati, na watu wawili kuhofiwa wamefariki papo hapo waliokuwa wamepakizana mishkaki kwenye pikipiki iliyoanguka nao kukanyagwa na fuso. Jioni hii tena maeneo ya Kipati, ajali ya bus na bajaji. Asante Mungu hakuna vifo.
SERIKALI YETU SIKIVU, HILI NI MPAKA LINI???View attachment 3275472
Chama Cha Makafara kipo kazini, subirini uchaguzi uishe ndio kero zenu zishughulikiwe
kwamba ccm watembelea chuma chakavu na injini za bichwa la ng'ombe za miaka ya 70
Hain shida nyoya moja limenyonyoka kwenye mwili wa kuku mama mi5 tenaHii barabara ya mwendokasi ya kupita Mbagala Kila uchwao inaleta ajali, watu wanakufa kila mara bila sababu za msingi na serikali ya mtaa, kata, wilaya, kuu zote zipo na zinajua kinachoendelea. Maana ni wao ndio wameifungulia hii barabara ili gari zipite.
Hii barabara haina alama yoyote ya usalama, madereva hawafati sheria. Ni vifo mara kwa mara.
Leo hii asubuhi imetokea ajali mbaya sana eneo la msikitini (picha) na inasemekana ni watu wengi wamefariki ikiwemo madereva wote wawili. Kana kwamba haitoshi eneo hilo hilo jana ilitokea ajali. Haitoshi tena leo mchana wa saa 6 ajali nyingine barabara hiyo
Hilo eneo la kipati, na watu wawili kuhofiwa wamefariki papo hapo waliokuwa wamepakizana mishkaki kwenye pikipiki iliyoanguka nao kukanyagwa na fuso. Jioni hii tena maeneo ya Kipati, ajali ya bus na bajaji. Asante Mungu hakuna vifo.
SERIKALI YETU SIKIVU, HILI NI MPAKA LINI???View attachment 3275472
Ni nani ameifungua yaani kwa madereva hawa vichwa maji unafungulia barabara yaMkuu suluhisho ni nini kuzuia hizi ajali zaidi ya kuifunga hiyo barabara tajwa?
Nipe majina yako matatu.Chama Cha Makafara kipo kazini, subirini uchaguzi uishe ndio kero zenu zishughulikiwe
Majina Yangu MatatuNipe majina yako matatu.