Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Lockdown haiwezi kufanyika nchi nzima ikasimama. Uchumi wa nchi nzima utayumba na ule wa mtu mmoja mmoja ndio utateketea kabisa.Point yako ni nini sasa? Ulichoandika hapa kina uhusiano gani na nilichoandika?
Kwa nini mnatumia nguvu nyingi kutetea tafsiri yenu ya lockdown (ambayo HAKUNA hata nchi moja duniani ilifanya)?
Marekani watu milioni 30 wamepoteza ajira sasa jiulize kwetu hapa hali itakuwa vipi.