Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

Piga vyungu kiongozi, sasa dawa ni ipi kukaa ndani? Ila hajakatazwa mtu kukaa ndani ni maamuzi tu.
Kwa hiyo tumsifu na kumpongeza Raisi Magufuli kwa juhudi zake za kuutokomeza ugonjwa wa hofu?
 

Ulaya na Marekani wamefungia mipaka na shughuli zingine, ni muda tu nyie na Kenya mtabadilisha gia angani sababu mizungu imesema.
 

Unaongelea tahadhari zipi wkt Makonda ametangaza J2 hii wenye ma bar,club,maduka,hotels wafungue kama kawaida na wapige mziki mnenee kwa kuishinda Corona na kumshukuru rais.
 
Umeandika saaana kuwakariri US ambako wana uchumi stable tofauti na afrika.

Jibu ni kwamba tumechukua right track kwa sababu madhara ya lockdown ni makubwa kuliko unavyowaza wewe na wenzio wenye kipato kizuri na mnachokiogopa ni kifo tu.
Lakini mnasahau nchi yetu wanaokimbiza kipati yaani hand to mouth ndio wengi kuliko wale mnaotembea na viyoyozi afrika.
Mind you hata huko US tayari hawataki lockdown.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The number of deaths in the world in the last two months of 2020

14,687 : Corona virus

69,602 : Common cold

140,584 : Malaria

153,696 : suicide

193,479 : road accidents

240,950 : HIV loss

358,471 : alcohol

716,498 : smoking

1,177,141 : Cancer

Then do you think Corona is dangerous?

Or

is the purpose of the media campaign to settle the trade war between China and America

or

to reduce financial markets to prepare the stage of financial markets for mergers and acquisitions

or

to sell US Treasury bonds to cover the fiscal deficit in them

Or

Is it a Panic created by Pharma companies to sell their products like sanitizer, masks, medicine etc.

Do not Panic & don't kill urself with unecessary fear:I am posting this to balance your newsfeed from posts that caused fear and panic.



338,724 People are sick with Coronavirus at the moment, of which 81,093 are in China. With a population of over 1.1 billion. This means that if you are not in or haven't recently visited China, this should eliminate 94% of your concern.

If you do contract Coronavirus, this still is not a cause for panic because:

81% of the Cases are MILD

14% of the Cases are MODERATE

Only 5% of the Cases are CRITICAL

Which means that even if you do get the virus, you are most likely to recover from it.

Some have said, “but this is worse than SARS!”. SARS had a fatality rate of 10% while COVID-19 has a fatality rate of 2%

Moreover, looking at the ages of those who are dying of this virus, the death rate for the people UNDER 50 years of age is only 0.2%

This means that: if you are under 50 years of age and don't live in China - you are more likely to win the lottery (which has a 1 in 45,000,000 chance)

Sunday 22nd March in Italy 793 died.

Let’s take one of the worst days so far, the 10th of February, when 108 people in CHINA died of Coronavirus.

On the same day:

26,283 people died of Cancer

24,641 people died of Heart Disease

4,300 people died of Diabetes

Suicide took 28 times more lives than the virus did.

Mosquitoes kill 2,740 people every day, HUMANS kill 1,300 fellow humans every day, and Snakes kill 137 people every day. (Sharks kill 2 people a year)

TAKE MULTI VITAMINS AND DO THE DAILY THINGS TO SUPPORT YOUR IMMUNE SYSTEM , PROPER HYGIENE AND DO NOT LIVE IN FEAR.

Join Me to Spread Hope instead of Fear. The Biggest Virus is not Corona Virus but Fear!

SHARE TO STOP PANIC. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu, kabla sijakujibu, naomba nikuulize kama umepitia michango ya nyuma tokea bandiko la kwanza.
 
Ulaya na Marekani wamefungia mipaka na shughuli zingine, ni muda tu nyie na Kenya mtabadilisha gia angani sababu mizungu imesema.
Yeye wewe unajikinga na hii pandemic kwasababu mzungu amesema? Unajitibu kwasababu umeambiwa na mzungu?
 
Mbona Trump ni mweupe?
 
Sweden wasio na lockdown wana common sense nyingi kuliko mimi na wewe.

Ni akili za vumbi kuwa na lockdown wakati familia moja ina watu nane wenye kuishi nyumba moja na kutumia mpaka sahani zile zile kila siku.
 
Fujo za watu wa Kenya kule East leagh? Wanakoishi wasomali?Uganda na Rwanda umezisahau. Kama Rwanda wamelisha nchi sisi tumeshindwa vipi kuilisha Dar? Tena siyo wote Dar ambao wangehitaji msaada.
Rwanda ukubwa wake ni sawa na mkoa mmoja tu wa Tanzania Bara. Lockdown ni ngumu sana kuna matatizo mengine ya kiafya kama TB na HIV unapoweka lockdown unaongeza vifo vya hayo magonjwa.

Sio kila lenye kuwezekana nch fulani basi na nyingine inaweza kulifanya.
 
Sweden wasio na lockdown wana common sense nyingi kuliko mimi na wewe.

Ni akili za vumbi kuwa na lockdown wakati familia moja ina watu nane wenye kuishi nyumba moja na kutumia mpaka sahani zile zile kila siku.
Usijiweke group moja na mimi hapo unapojitolea mfano na wa Swedish. GTO with you little self esteem bra.
 
Wapi nimesema lockdown ya Tanzania nzima?
 
Yeye wewe unajikinga na hii pandemic kwasababu mzungu amesema? Unajitibu kwasababu umeambiwa na mzungu?

Sijikingi, sijitibu, sivai barakoa wala sinawi kama hakuna msosi. Wagumu tunadumu
 
Effect za lockdown Ohio zinaweza lingana na effect zake na inchi kama zetu za third world?,acha kupotosha watu,huko wanaweza kununua mahitaji yao ya mwezi mzima mtu anakaa ndani anajitafunia,ukimfungia wa buguruni utampesa tu,maana kula yake lazima atoke akapige kibarua na hela atayopata siku hiyo ni ya kumtosha siku mbili tu,unataka yatokee watu wajae barabarani kudai vyakula ili inchi iwe katika utulivu ziro ndio ufurahi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA wanakufa kama Kuku usipotoshe
Mkuu USA maana yake ni muunganiko wa nchi zaidi ya 40 yaani ni kama kuichukulia Afrika Mashariki, kati na Kusini.
Sasa turudi kwenye hoja..Je,Tanzania imekataa lock down kisa aifanyi kazi au kwasababu Serikali yetu aiwezi kuwahudumia wananchi wake mfano mahitaji ya kila siku?
Pili,Marekani imetoa pesa kwa watu walio poteza ajira je Tanzania nayo itafanya hayo kwa watu kama walimu wa shule binafsi na vyuo ambao na awalipwi mishahara yao tangu Machi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…