Mkuu ebu pitia tena mabandiko ya nyuma halafu kama bado utakuwa na hili swali, basi unijulishe.Effect za lockdown Ohio zinaweza lingana na effect zake na inchi kama zetu za third world?,acha kupotosha watu,huko wanaweza kununua mahitaji yao ya mwezi mzima mtu anakaa ndani anajitafunia,ukimfungia wa buguruni utampesa tu,maana kula yake lazima atoke akapige kibarua na hela atayopata siku hiyo ni ya kumtosha siku mbili tu,unataka yatokee watu wajae barabarani kudai vyakula ili inchi iwe katika utulivu ziro ndio ufurahi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Very well said comrade!ππ½ππ½Mkuu USA maana yake ni muunganiko wa nchi zaidi ya 40 yaani ni kama kuichukulia Afrika Mashariki, kati na Kusini.
Sasa turudi kwenye hoja..Je,Tanzania imekataa lock down kisa aifanyi kazi au kwasababu Serikali yetu aiwezi kuwahudumia wananchi wake mfano mahitaji ya kila siku?
Pili,Marekani imetoa pesa kwa watu walio poteza ajira je Tanzania nayo itafanya hayo kwa watu kama walimu wa shule binafsi na vyuo ambao na awalipwi mishahara yao tangu Machi?
Mtu akisia USA anadhani ni kanchi tu hivi..Very well said comrade!ππ½ππ½
Siyo Wuhan tu...Kwa mujibu wa research ya Columbia University, kama wangeanza mapema kabla ya March ambapo Trump alileta blah blah, wangeweza kuokoa maisha ya wamarekani 36,000!!