Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

Effect za lockdown Ohio zinaweza lingana na effect zake na inchi kama zetu za third world?,acha kupotosha watu,huko wanaweza kununua mahitaji yao ya mwezi mzima mtu anakaa ndani anajitafunia,ukimfungia wa buguruni utampesa tu,maana kula yake lazima atoke akapige kibarua na hela atayopata siku hiyo ni ya kumtosha siku mbili tu,unataka yatokee watu wajae barabarani kudai vyakula ili inchi iwe katika utulivu ziro ndio ufurahi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu pitia tena mabandiko ya nyuma halafu kama bado utakuwa na hili swali, basi unijulishe.
 
Mkuu USA maana yake ni muunganiko wa nchi zaidi ya 40 yaani ni kama kuichukulia Afrika Mashariki, kati na Kusini.
Sasa turudi kwenye hoja..Je,Tanzania imekataa lock down kisa aifanyi kazi au kwasababu Serikali yetu aiwezi kuwahudumia wananchi wake mfano mahitaji ya kila siku?
Pili,Marekani imetoa pesa kwa watu walio poteza ajira je Tanzania nayo itafanya hayo kwa watu kama walimu wa shule binafsi na vyuo ambao na awalipwi mishahara yao tangu Machi?
Very well said comrade!👏🏽👏🏽
 
Siyo Wuhan tu...Kwa mujibu wa research ya Columbia University, kama wangeanza mapema kabla ya March ambapo Trump alileta blah blah, wangeweza kuokoa maisha ya wamarekani 36,000!!

If the United States had begun imposing social distancing measures one week earlier than it did in March, about 36,000 fewer people would have died in the coronavirus outbreak, according to new estimates from Columbia University disease modelers.

Lockdown Delays Cost at Least 36,000 Lives, Data Show
 
Back
Top Bottom