Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani natamani hata kuwa Senior member.😂

Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe?

Nataka kumjua mwanamke mkongwe zaidi JF ikiwezekana leo tuwape Heshima zao.🙏💪🇹🇿

View attachment 2585921
Mimi hapa mkongwe japo sitokei mara Kwa mara lakini nipo sanaaa!
 
Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani natamani hata kuwa Senior member.[emoji23]

Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe?

Nataka kumjua mwanamke mkongwe zaidi JF ikiwezekana leo tuwape Heshima zao.[emoji120][emoji123][emoji1241]

View attachment 2585921
Kuna mwamba id yake inasoma 2006 nilimuona jukwaa la siasa na alinipa mchongk wa UN
 
Back
Top Bottom