Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Kwa wanaume mmoja wapo ni Mshana Jr na upande wa kike ni huyu Nyamizi

Hao wana miaka 17+ jukwaani.

Kuhusu kua Senior au Expert Member cha kufanya ongeza idadi ya Post, haihusiani na mda wa kujiunga jukwaani. Kuna kama wakina Tumia akili wana zaidi ya miaka 8 bado wana ya status ya "Member" na kuna wajuzi juzi ambao ni washakua na Status ya "Expert Member" kama Kulwa Jilala mwenye less than a year jukwani.

Iko hivi
0-99 Posts, New Member up to Member.
100-199 Posts, Senior Member.

Uki-hit 200 post tayari unakua mzoefu, Expert Member.
Nimekuelewa vizuri sana mkuu 💪🔥
 
Sasa technically si atakuwa ni founder ambaye bado yupo hai ? Pia fahamu kwamba wadau wengi ni wame-metarmorphosize IDs zao za kitambo kwahio wale wa kipindi hiki huenda ndio hawa wa kipindi hiki under different alias....
 
Huyo mwamba alikuepo mitandaoni kitambo,karudi bongo kaaga hapahapa.
Kaenda kufa tu huko.
Rip
Namkumbuka toka Enzi za audi black left hand alitoka nayo mamtoni..miaka ilee....sijui nini kilimrudisha bongo daah(R.I.P)
 
Back
Top Bottom