ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Limekuwa sio jukwaa la maana tena.Wakongwe tulishaondoka baada ya kizazi cha bongo flavour kuvamia hili jukwaa. Hawa watoto mchicha wali nazi topic zao za kiwaki sana, just imagine dogo anaomba ushauri hapo
"YAANI HAPA NILIPO NIMECHANGANYIKIWA, LEO MAMA AMEKATAA KUTUPIKIA WALI NYAMA.. USHAURI PLEASE, SERIOUS JAMANI NAOMBA USHAURI