Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Kuna Bro BAK

HAFU kuna mwamba abaitwa Spiderman
Screenshot_20230413-122447.png


Huyu mwana Avenger kamtangulia hadi Maxence Melo

Screenshot_20230413-122506.png
 
Wapo wengi ila nadhani wamebadili id.

Jf ya zamani ilikua wazi sana na watu walifahamiana na walikua na mawasiliano nje ya hapa.

Baada ya watu kua wengi, basi na wao wakachange id.
 
Mimi nipo toka 2009 kwa Jina langu kitambo sana ukiacha a.k.a ya ufupisho, na email napata inbox kama kawaida
 
Mwanzo Ilikuwa Jambo Forum
Nilianza Kuifuatilia Mwaka 2007
Nilipo kuwa niki Google baadhi ya Vitu na Link kuja Jambo Forum
Mwakaa 2009 Nikajiunga kwa Id fulani na Kutokana Na Mambo Yasiasa Nikaacha nayo mwaka 2014
Jamiiforums Ilikuwa Zamani kulikuwa na Id chache lakini Nondo zakufa mtu mada Zilikuwa kali sana
Walio kuwa wakifuatilia bila Id ndio wengi kuliko walio jiunga kipindi kile
Pia Jf ilikuwa Huru sana Kuliko Sasa
 
Been there since it was started as Jambo forums,
Watching it passing through various phases and changes,
Welcoming new members and IDs, some became popular in their own way,
Some were famous and became even more legendary afterward,
and some reached JF celebrity status behind keyboard,
Others, never seen again with their IDs simply because they disappeared,
I am just here,all long.

17463.jpg






Joined 2009
 
Back
Top Bottom