Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa mkuu.Nipo Kiongozi....
Mzizi mkavuNimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani natamani hata kuwa Senior member.😂
Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe?
Nataka kumjua mwanamke mkongwe zaidi JF ikiwezekana leo tuwape Heshima zao.🙏💪🇹🇿
View attachment 2585921
Nipoo mlongo, JF ni kijiwe pendwaa,Wa mlongo wangu upo?
Mie hata niwe kumhalule jf siachi kuingia [emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani DaktariDuh hongera mkongwe, 2008 nipo.... au basi [emoji1787][emoji1787][emoji119]
Hongera sana mkongwe,Been there since it was started as Jambo forums,
Watching it passing through various phases and changes,
Welcoming new members and IDs, some became popular in their own way,
Some were famous and became even more legendary afterward,
and some reached JF celebrity status behind keyboard,
Others, never seen again with their IDs simply because they disappeared,
I am just here,all long.
View attachment 2586363
Joined 2009
Ooh mie nakumbuka niliingia 2012 nikakuta mambo siyaelewi kabisa watu wanachat kwa kujuana, mada za kisiasa ndio usiseme nikatoka ndukiiiii,Kulikuwa na vuguvugu la uhuru wa kifikra.
Tulikuwa tunarafuta mahala pa kushare our views bila kuathiri uhai wetu
Hua nakukubali sana upo na positive mind sana ila sikuwahi kuview profile yako hadi leoShukrani Daktari
hamna w nakujuaMimi hapa Mwanamke mkongwe
Mimi Nimeanza kuisoma 2010 na 2017 ndio nikajiunga.Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani natamani hata kuwa Senior member.😂
Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe?
Nataka kumjua mwanamke mkongwe zaidi JF ikiwezekana leo tuwape Heshima zao.🙏💪🇹🇿
View attachment 2585921
amna kitu hapo😂😂😂Pascal Mayala kumbe wa juzi tu
mmmmh heshima yakoNilianza kabla haijawa Jamii Forums, nilianza na Jambo Forums 2007.
Hahahahahaha kwenye profile hakuna taarifa nyingi!Hua nakukubali sana upo na positive mind sana ila sikuwahi kuview profile yako hadi leo