Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

UkAsome mathayo 19:8-12 unaona kabisa ndoa zilikuwepo,na hasa 12 unaona kabisa kwamba swala la kutooa hata kwa hawa unaoita mizizi ya ukristo liliposimamia.ni wakfu maalumu wa sadaka kiutumishi.

Hiyo ni sawa na anayeamua kufunga asile siku mbili au 3 ili chakula husika akielekeze sehemu maalumu.
Unasema siyo kila mtu katika ukristo anapaswa kuigwa!Sawa,vipi kuhusu Yakobo (Israeli),maana yeye alioa watoto wa mjomba wake.Au na Yakobo siyo wa kuigwa?.
 
Back
Top Bottom