avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Huyu mtu wa ajabu Sana, alikoibukia hakujulikani, hajatabiriwa na kitabu chochote kilichotangulia, amekuja amevuruga yaliyoamdikwa akachanganya na yake, kabadilisha historia ya Ibrahim na wanawe wawili ile nafasi ya isaka kaibadilisha akaweka Ismail, kamwita mjusi KAFIRI sijui alimkosea nini, kamwita nguruwe kiumbe wa Mungu haramu sijui walikosana wapiKafiri ajawahi kumpenda muhammad na uisilawam na waisilamu kwa ujumla