Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Kwani kila kitu ni lazima muangalie dini?Lete andiko kutoka kwenye biblia linalo sema ni kosa kumuoa mtoto wa shangazi yako mama ndogo baba mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kila kitu ni lazima muangalie dini?Lete andiko kutoka kwenye biblia linalo sema ni kosa kumuoa mtoto wa shangazi yako mama ndogo baba mdogo
Ndio maana Zanzibar magonjwa ya kurithishana yapo sanaBinamu wanaoana.....
Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili.
Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa.
Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini? Au nini historia ya hili?
Karibuni mnielimishe.
Binamu zangu ni kaka zangu, ni marufuku kwetu kuwa uhusiano au kuoana na binamu. Hivi unaanzajeHaya ni ma Mila ya wahindi na waarabu eti ni wivu Mali isitoke nje ya familia ndio maana kwenye familia za wahindi na waarabu ndani Wana mazezeta au wenye mtindio wa UBONGO. Sasa sisi wa kuletewa dini tumebeba Kila kitu hata hayo mamila ya hovyo ila kimsingi makabila halisi ya kiafrika hilo halikubaliki.na ni laana
Kuna baba mmoja wameoana binamu, yaani wale vijana ni dhaifu balaa. Wamekuwa kama wana unyafuzi wakati ni watu wazima sasa.Ni kwanini kuoana ndugu kunakatazwa?
Sababu kubwa ni kwamba kuna magonjwa ya kurithi, kwaiyo mkioana ndugu ni rahisi watoto kuzaliwa na hayo magonjwa kwakua 'gene' za wazazi zinakua zinafanana kwa kiasi kikubwa. Magonjwa kama albinism, sickle cell, pumu n.k. Kwa waliosoma biology (genetics) watanielewa kwenye 'dominant gene' na recessive gene' 'homozygous' na heterozygous'.
Kwaiyo hata wazee wetu hawakua wapumbavu walikua wanalitambua hili. Ndo maana kuna makabila ilikua ikigundulika ndugu mnanyandua adhabu yake ni kifo.
Hii kitu inaaply hata kwa mifugo (kuku,ng'ombe, mbuzi nguruwe n.k), ukitaka mifugo yako uzao wake uendelee vizuri usikubali wapandane ndugu, tafuta dume la mbali kabisa. Bila hivyo vizazi vinavyoendela vinazidi kua dhaifu na vidogo zaidi.
Nan amekudanganya,uislamu ni mila za waarabu fullstop na ukristo ni mila za warumi,kabla muarabu na wamisionari hawajakanyaga hili hili bara la Africa tulikua tuna abudu nin,think twice man...Uislamu hauhusini n mila za kiarabu
Wa mjini
Mbna mke alikuwa ana wake wawili na hakumzuia,Daudi alikuwa anawake chungu mzima mpaka kuoa mke wa mtu hakumzuia hakuna sehemu aliyezuia kuoa wake wenhi mpaka kuna sehemu Mungu anamwambia Daudi kama angetaka kuongeza wake mungu angempatia,[emoji23][emoji23][emoji23]wenyewe ukiwauliza Wala hawana shida na Hilo,wanaamini alikuwa Bora sana kwa Allah[emoji23][emoji23].
Wakati huku kwenye bible Mungu angemtoa nishai kipenzi chake live live,kama Mussa alivyoikosa nchi ya ahadi kisa kumkasirikia Mungu.
Mkuu Asante nashukur Mwa ufafanuzi mzuri na wenye busaraNan amekudanganya,uislamu ni mila za waarabu fullstop na ukristo ni mila za warumi,kabla muarabu na wamisionari hawajakanyaga hili hili bara la Africa tulikua tuna abudu nin,think twice man...
,unajiita Dr halafu kichwani umejaza makamasi
Hawa watu ni WA hovyo Sana, hivi utamvuaje chupi dada yako?Binamu zangu ni kaka zangu, ni marufuku kwetu kuwa uhusiano au kuoana na binamu. Hivi unaanzaje
Hovyo sanaHawa watu ni WA hovyo Sana, hivi utamvuaje chupi dada yako?
Huu Bado unabaki kuwa ni upuuzu wa suleiman,hakuna mtu anayemtetea kwa upuuzi huu,na mwisho alikiri kwamba alikuwa anajilisha upepo tu.Mbna mke alikuwa ana wake wawili na hakumzuia,Daudi alikuwa anawake chungu mzima mpaka kuoa mke wa mtu hakumzuia hakuna sehemu aliyezuia kuoa wake wenhi mpaka kuna sehemu Mungu anamwambia Daudi kama angetaka kuongeza wake mungu angempatia
Sijazungumzia suleyman mkuu soma tena ,Ntaanza na lameck ,Musa ,yakobo, Daudi na wote Manabii wa biblia walikuwa na wake zaidi ya mmojaHuu Bado unabaki kuwa ni upuuzu wa suleiman,hakuna mtu anayemtetea kwa upuuzi huu,na mwisho alikiri kwamba alikuwa anajilisha upepo tu.
Ila huyo jamaa yenu Sasa.
Ni suala la utamaduni tu na utaratibu aliojiwekea mwanadamu.Binamu wanaoana.....
Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili.
Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa.
Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini? Au nini historia ya hili?
Karibuni mnielimishe.
Hoja sio hiyo,hoja ni wao kuagizwa na Mungu.Sijazungumzia suleyman mkuu soma tena ,Ntaanza na lameck ,Musa ,yakobo, Daudi na wote Manabii wa biblia walikuwa na wake zaidi ya mmoja
Mkuu unaposema hawakuagizwa na Mungu unamaanisha nini?Hoja sio hiyo,hoja ni wao kuagizwa na Mungu.
Ndio sababu nimesisitiza ilikuwa sehemu ya upuuzi wao tu vichwani.wala hatuwezi wachukulia kama walifanya jambo la mfano Bora.
Naunga mkono hoja 👍👏Mwarabu alileta mila za hovyo sana Bongo. Wafuasi wa dini kwao ni kawaida jamaa kumuoa mtoto wa shangazi, mjomba, baba mkubwa, baba mdogo, na watoto wa mama mkubwa na mama mdogo. Hii ni kinyume kabisa na mila za asili kabla ya ujio wa wavurugaji hawa wa mila kutoka Uarabuni, ambao walikuja kuuza watu kama kuku huku wakilazimisha watu kufuata dini yao, ambayo kimsingi ni mila zao. Kutokana na hilo, unakuta magonjwa ya kurithi ya kigenetiki yanakuwa mengi miongoni mwao.
Acha kusingizia makabila ambayo hujajuiWa mjini
Hahahaaa!Bado hakuna katazo la watoto wa baba mkubwa na mdogo kuoana.Wewe unasomaje,18:12 inasema utupu wa umbu la baba yako usifunue.
Unajua maana yake,hapo shangazi zako,baba zako wadogo na wakubwa.
Na umesema mbali ikakataza mpaka mke wa rafiki yako.
Wana wa Israel wametokana na wanawake wangapi? Na Vp sindiyo wabarikiwa wa Mungu kwa mujibu wa maandiko?.Hoja sio hiyo,hoja ni wao kuagizwa na Mungu.
Ndio sababu nimesisitiza ilikuwa sehemu ya upuuzi wao tu vichwani.wala hatuwezi wachukulia kama walifanya jambo la mfano Bora.
hawo wamezidi mpaka kaka na dada wa tumbo mojaHata CCM wanachukuana wao kwa wao ufahamu hilo