Aisee wale waumini wake ndio ninaowaonea hurumaLeo nimefurahi mahubiri yake Channel ten.. Anakuambia "Acha maneno weka mziki"
hata katapila anatumia bapa?Madhara ya bapa kubwa bila kula
Itakuwa stress amezidisha bapaz Sadaka haionekani mganga aliyemhakikishia waandishi WA habare watakufwa kafa kabla ya waandishi wenyewe sasa anahofu ya kuuza gongo........Ngoja nitafute picha mkuu...yaani kabadilika ghafla sana
We umejuaje kama anaota ukungu..?Habarini Wadau
Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?
Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.
Sababu ni nini?
Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
Vya tundumaNa vipodozi labda
Bila yule jirani kulisanua tusingejua.Haujui kuwa jamaa ni MLEVI tena sana.
Umeichoka familia yako.hata katapila anatumia bapa?
HaswaaaBila yule jirani kulisanua tusingejua.
Walikupitia nyuma mkuu?BAPA SI CHAI. KUNA KIPINDI NILIKUWA NAYAPIGA MAWILI NA NUSU TENA KAVU, NILICHOKIPATA NI SIRI YANGU.
Kamchimba maeneo gani? Mbona naona hajachimbwa popote ila anavimba machoni.Mtoa mada acha kumchimba mchungaji wangu..