Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Post #30 kuna picha, post yako ni # 33. Sijui tatizo lako nini tukusaidie.Nimefungua page ya kwanza mpka hii ya tatu Hamna hata picha?!, mtoa mada habari haileti uhalisia tunaoutaka; yaani ni kama habari haijakamilika. Aise mpaka nmemkumbuka yule jamaa humu JF anajiita TYTA (sijui kama nmelipatia), alikuwa anafanya habari kama hizi zinakuwa na mvuto kwa kutuma mapicha picha.
Walikupitia nyuma mkuu?
kwa hiyo kama ni mchungaji wako anatakiwa asichimbwe.?na kama hutaki achimbwe njia nyepesi omba malaika wake wazime JF au kampe jina la mtoa mada amjumlishe kwenye wale watako uaga ugali halo March 2017Mtoa mada acha kumchimba mchungaji wangu..
Thubutuuu...hawana kitu hao.kwa hiyo kama ni mchungaji wako anatakiwa asichimbwe.?na kama hutaki achimbwe njia nyepesi omba malaika wake wazime JF au kampe jina la mtoa mada amjumlishe kwenye wale watako uaga ugali halo March 2017
Usifundishe watu uoga mkuuBosi kuwa makini
Kuna waandishi wametabiriwa hawataiona March.
Mi nimetoa ujumbe kama pastor alivo sema wala sija muogopeshaUsifundishe watu uoga mkuu
VirobaHabarini Wadau
Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?
Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.
Sababu ni nini?
Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
weeeee juzi kasema hataki mtu amuombee kasema tujiombee sisi na watoto wetu Angalia asije akakusikiaMwacheni mtumishi. Omba kwa ajili yake Mungu ndiye muweza wa yote na yote. Naomba msimwandame saana mtumishi huyu mwachieni Mungu ambaye yeye hasemi uongo.