Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Nimefungua page ya kwanza mpka hii ya tatu Hamna hata picha?!, mtoa mada habari haileti uhalisia tunaoutaka; yaani ni kama habari haijakamilika. Aise mpaka nmemkumbuka yule jamaa humu JF anajiita TYTA (sijui kama nmelipatia), alikuwa anafanya habari kama hizi zinakuwa na mvuto kwa kutuma mapicha picha.
Post #30 kuna picha, post yako ni # 33. Sijui tatizo lako nini tukusaidie.
 
Walikupitia nyuma mkuu?

Inawezekana hako ni kamchezo kako maana vijana wa siku hizi hatujui yupi KE, yupi ME.

Sasa kama sio upunguani swali ulilouliza linahusiana nini na nilicho-comment. Jiangalie jinsia yako vizuri isije kuwa ya TATU.
 
Mtoa mada acha kumchimba mchungaji wangu..
kwa hiyo kama ni mchungaji wako anatakiwa asichimbwe.?na kama hutaki achimbwe njia nyepesi omba malaika wake wazime JF au kampe jina la mtoa mada amjumlishe kwenye wale watako uaga ugali halo March 2017
 
Naona dhambi zimemzidi ndo mana linavimba mimacho na kuwa na sura baya baya
 
kwa hiyo kama ni mchungaji wako anatakiwa asichimbwe.?na kama hutaki achimbwe njia nyepesi omba malaika wake wazime JF au kampe jina la mtoa mada amjumlishe kwenye wale watako uaga ugali halo March 2017
Thubutuuu...hawana kitu hao.

Utapeli na Usanii tu
 
Kifurushi cha nguvu za giza kinakata kwahiyo mambo yanageuka kichwa chini miguu up.
 
Habarini Wadau

Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?

Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.

Sababu ni nini?

Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
Viroba
 
Mwacheni mtumishi. Omba kwa ajili yake Mungu ndiye muweza wa yote na yote. Naomba msimwandame saana mtumishi huyu mwachieni Mungu ambaye yeye hasemi uongo.
weeeee juzi kasema hataki mtu amuombee kasema tujiombee sisi na watoto wetu Angalia asije akakusikia
 
Kweli kitu dhambi ni kitu mbaya. Unakosa amani, usingizi mpaka uwekelee bapa tu jombaa. Utaacha kuchongoka?? Usimchezee Mungu hata kidogo. Anakuachaa uwe fundisho kwa wengine tu
 
Wengine walimsema akasema mpaka mwezi wa tatu watakuwa hawasomeki sasa nyie endeleeni mimi simo
 
Back
Top Bottom