Hivi ni sahihi kiongozi kwenye hotuba yake kutumia dakika 10 kutambua itifaki ya waliopo?

Mengine ni utamaduni wetu.
Tupambanir yenye kuleta haueni kwa raia maana hizi itifaki zinasababisha foleni kubwa sana huko mabarabarani...
 
Leo kumefurika mjini watu tumehairisha mishe zetu maana trafiki mara wawasimamishe mara waruhusu kdg tena anawasimamisha sijui taarifa zao huwa wanapeanaje ukute Rais ndo kwanza hajamaliza itifaki wao huku wanahaha 🙄 😀
 
practice ya siasa with the taste of africa! mambo ya kiafrika haya na ikifika kipindi cha kumpamba raisi ndo usiseme!
 
Mwalimu Nyerere , Baba wa Taifa , kila akianza hotuba alikuwa anaanza simply,
" Ndugu Wananchi................"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…