Kama huwezi kumsaidia ndugu Yako kausha mkuu acha kuja kuweka vitu personal hapa. Huwezi kaa kimyaa Mzee huwezi jua how moyo wake unakuthamini kama ndugu wa karibu mkuu. Be good and it'll pay you tripled.
Huyo ni kuongeza mke wa pili kbs! hakuna cha nyama ya hamu hapo.Mkuu hiyo ni nyama ya hamu.
Yaani laki nne ndiyo amchukie ndugu yake tena wa kike? Huu ni utoto na kutodhaminiana Kama nduguHapana. Usaidizi wa huyo dada yake umemchanganya ndio maana amekuja huku angalau apate ufumbuzi. Huyo dada yake anazingua mana analia njaa sana. Haoni uchungu wa pesa za jamaa
Looh😃😃😂😂Yawezekana ukoo uliozaliwa, siyo wapenzi sana wa hela.. Na ndo maana unazitapanya hizo hela hovyo hovyo..
Dogo achana na pimbi hao unaowaita ndugu, itakula kwako! Fanya maisha Yako angali bado nafasi inakuruhusu.Mpaka sasa nina kiwanja sijajenga kwasababu ya kusaidia ndugu wasio na shukrani, ndio maana nimesema menine sijaeleza hapo.
Ni pesa ndogo. Lakini mwendelezo wake si mzuri kwa sababu huyo binamu hana mpango kazi. Pia anataka kuvuruga hadi biashara ya viatu. Cha kufanya, huyo binamu anatakiwa asimamiwe, ukiishaona ndugu unamsaidia halafu anafeli mtaji, usiendelee kutoa hela bila kumfanyia tathmini ya kina na mikwara kibao.Yaani laki nne ndiyo amchukie ndugu yake tena wa kike? Huu ni utoto na kutodhaminiana Kama ndugu
Ni pesa ndogo. Lakini mwendelezo wake si mzuri kwa sababu huyo binamu hana mpango kazi. Pia anataka kuvuruga hadi biashara ya viatu. Cha kufanya, huyo binamu anatakiwa asimamiwe, ukiishaona ndugu unamsaidia halafu anafeli mtaji, usiendelee kutoa hela bila kumfanyia tathmini ya kina na mikwara kibao.
Usipende kumpa ndugu samaki bali mpe nyavu avue samaki. Kumkalia kimya siyo kumsaidia bali kumuharibu mana inawezekana anaomba pesa halafu anatumia hovyo hovyo huku jamaa akipambana na anafamilia pia
😁😁😁Looh😃😃😂😂
Kuna siku tulipanga twende nyumbani ambapo mimi nipo Shy yeye yupo Dar mm nilikuwa na mke wangu na mtoto sasa tulikuwa tunatembea nae mara nikaona nimnunulie wife kitu eti akagoma nisimnunulie baadae nikarudi mm mwenyewe nikamnunulia nikampelekea binamu aliumia kinoma mara akaanza mabifu na wife.Anakupenda na wewe unalaza damu.Akikulipa siku hiyo mpige kipara hadi tusikie huku akilia
Asante kwa ushauriKuna binadamu wana asili ya kupe, wao ni kunyonya tu.
Sidhani kama yeye anakuona kama kaka, anakuona ni kibubu chake, akikwama aje kuchota.
Kuna pale mkono unapofika, ukiendekeza uonekane kaka bora utaishia kuwa kapuku.
Kuna wakati katika maisha ni sawa kabisa kusema HAPANA bila ya maelezo mengi.
Nikimwambia leo sina anapiga tena simu baada ya siku 4 kunikopa tena na anakwambia kwenye mahesabu yako huna hata 300,000/= uniazime? 🤣Kwani ni vibaya kusema huna mambo yako hayajakaa sawa?, usiogope kusema huna kisa atachukia, pesa haitakiwi kuchezewa hivyo.
Nikweli ndugu maana hata simuelewi kila wiki mkopo sasa hata kama namimi nataka niizungushe pesa yangu itakuaje? Namimi nina familia tena mke na watoto wawili, ninakiwanja bdo sijajenga yeye kajenga alafu ananisumbua.Hapana. Usaidizi wa huyo dada yake umemchanganya ndio maana amekuja huku angalau apate ufumbuzi. Huyo dada yake anazingua mana analia njaa sana. Haoni uchungu wa pesa za jamaa