Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
New version(ndio maana nimeweka nyota) ya hilo neno limewekwa kicho.ko cho.ko sana,by the way sijasema ni kosa kulitumia ila ni kwamba haipendezi kutumiwa na WanaumeHapo umefeli sana hadi utapata tabu sana pia ni kosa kulitumia [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unafki na mtanzania ni pete na kidoleHa ha ha JF bana utakuta akiwa maeneo yake mleta mada nae anayatumia km kawa
Na kweli maisha bila ya unafki hayaendiUnafki na mtanzania ni pete na kidole
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]New version(ndio maana nimeweka nyota) ya hilo neno limewekwa kicho.ko cho.ko sana,by the way sijasema ni kosa kulitumia ila ni kwamba haipendezi kutumiwa na Wanaume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unafki na mtanzania ni pete na kidole
Ukizaliwa mwanaume Afrika hata mama ako mzazi au baba ako mzazi akifa hauruhusiwi kulia .Ukilia unaonekana mlainiInaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii:
-Umedamshi
-Unadanga
-Kama lote vile
-Nyooo
-Jibebe
-Umependezaje
-Utapa tabu sana* (New version)
-Tunanyapia nyapia
-Ubuyu
-usinikaushe uzazi
-Unikome mwana wa mwenzio
-Na baadooo
-Aku Babu wee
-Mwaya
Maeneo mengi ya Dar ni kawaida sana kumkuta mwanaume anatumia hiyo.misemo halafu hata aibu haoni,kuna maneno hayajakaa kiume mazee.
Daah😂😂Ukizaliwa mwanaume Afrika hata mama ako mzazi au baba ako mzazi akifa hauruhusiwi kulia .Ukilia unaonekana mlaini
Hebu tamka hilo neno kama wale macho.ko wa CMG wanaovaa mask[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umesababisha nicheke kijerumani mzee baba hilo neno limekaa kiume kabisa yaan right hand halifai kwa matumizi ya watoto wa kike
Kuwafatilia wale jamaa mpaka uwe na ka umama ndani yako cnaga mzuka nao kabisaHebu tamka hilo neno kama wale macho.ko wa CMG wanaovaa mask
Ila hapo kwenye utapata tabu sana umekosea mengine uko sahihi.......wanaume wa Dar wananiboa kichizi na neno lao la siku hizi etu Kumdamshi daah hovyo sana aisee eti Kudanga,aisee!!Inaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii:
-Umedamshi
-Unadanga
-Kama lote vile
-Nyooo
-Jibebe
-Umependezaje
-Utapa tabu sana* (New version)
-Tunanyapia nyapia
-Ubuyu
-usinikaushe uzazi
-Unikome mwana wa mwenzio
-Na baadooo
-Aku Babu wee
-Mwaya
Maeneo mengi ya Dar ni kawaida sana kumkuta mwanaume anatumia hiyo.misemo halafu hata aibu haoni,kuna maneno hayajakaa kiume mazee.