Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Inaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii:
-Umedamshi
-Unadanga
-Kama lote vile
-Nyooo
-Jibebe
-Umependezaje
-Utapa tabu sana* (New version)
-Tunanyapia nyapia
-Ubuyu
-usinikaushe uzazi
-Unikome mwana wa mwenzio
-Na baadooo
-Aku Babu wee
-Mwaya
Maeneo mengi ya Dar ni kawaida sana kumkuta mwanaume anatumia hiyo.misemo halafu hata aibu haoni,kuna maneno hayajakaa kiume mazee.