Mleta uzi kaja na povu kama lootree vile.
Ila mleta uzi kila neno au kitu kinaendana na mahali na wewe uchukuliavyo.
Mfano: ukiwa kwenye basi kisha mama mwenye mtoto mchanga akatoa ziwa lake na kumbyonyesha mtoto wake aliyekuwa analia njaa. Hakika haitakukera ila amini ukileta umbea wa kumuangalia yule mama kwa zaidi ya dakika 5 lazima utakereka na tendo lake la kumpa dogo chakula.
Ndio kama wewe sasa umesikia neno kudamshi ukaruhusu masikio na ubongo wako kufanya shughuli ya umbea sasa hayo maneno yanakukera.
Mkuu wapotezee tu maisha hayaitaji uwe serious sana.