Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio wanaowaharibu vijana wa Dar wale mapungaKuwafatilia wale jamaa mpaka uwe na ka umama ndani yako cnaga mzuka nao kabisa
au utaskia "nini hiyo vepe" mamamamae huwaga namaindi kichizi natamani nimkate vichwa vya utosiDume linaandika "jomoni"
....ni kama "ulimi" na "meno".Unafki na mtanzania ni pete na kidole
Yani kudamshi kama kote vile [emoji23][emoji23][emoji23]sasa wamen'gan'gnia kudamshi hadi wanakera
New version(ndio maana nimeweka nyota) ya hilo neno limewekwa kicho.ko cho.ko sana,by the way sijasema ni kosa kulitumia ila ni kwamba haipendezi kutumiwa na Wanaume