Hivi ni sahihi kweli kwa Mwanaume kutumia maneno haya...?

"UTAPATA TABU SANA" Founder wake ni mwanaume kutoka mkoani....sijui una lipi la kusema hapo.......kwamba mkoani ndo wanaanzisha ama nini
 

Sometime maneno yana reflect uhalisia wa mtu na tabia zake we chunguza utakubaliana nami.
 
Hahahahhaa
Ngoja waje wenye maneno yao
 
Kutokuwa nakazizakufanya nitatizo, hatahayo yanakupotezea muda! Njoo mikoana hatunahuo muda.
 
hivi mleta mada unamjua hata aliyeanzisha hilo neno la utapata tabu sana
 
Utapata tabu Sana sio baya ila hayo aliyobaki achunguzwe kama havai shanga
 
Kama hadi utapata tabu sana ni la kike acha niwe mwanamke tu

Hayo mengine sio kweli kabisa mwanaume kutumia
Sema wanaume wa dar wanashida sana
 
"UTAPATA TABU SANA" Founder wake ni mwanaume kutoka mkoani....sijui una lipi la kusema hapo.......kwamba mkoani ndo wanaanzisha ama nini
Mtoa mada kasema new version ya hilo neno linatumika kishoga shoga hasa baada ya Wale wapuuzi wa Clouds kulishikilia bango kwenye kile kipindi chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…