Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,973
- 2,239
Kudamshi ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"UTAPATA TABU SANA" Founder wake ni mwanaume kutoka mkoani....sijui una lipi la kusema hapo.......kwamba mkoani ndo wanaanzisha ama niniInaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii:
-Umedamshi
-Unadanga
-Kama lote vile
-Nyooo
-Jibebe
-Umependezaje
-Utapa tabu sana* (New version)
-Tunanyapia nyapia
-Ubuyu
-usinikaushe uzazi
-Unikome mwana wa mwenzio
-Na baadooo
-Aku Babu wee
-Mwaya
Maeneo mengi ya Dar ni kawaida sana kumkuta mwanaume anatumia hiyo.misemo halafu hata aibu haoni,kuna maneno hayajakaa kiume mazee.
Usimfanye aongee sana. NHaya yote ni ya dar.Kwani kukausha uzazi ndo kupoje?
Inaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii:
-Umedamshi
-Unadanga
-Kama lote vile
-Nyooo
-Jibebe
-Umependezaje
-Utapa tabu sana* (New version)
-Tunanyapia nyapia
-Ubuyu
-usinikaushe uzazi
-Unikome mwana wa mwenzio
-Na baadooo
-Aku Babu wee
-Mwaya
Maeneo mengi ya Dar ni kawaida sana kumkuta mwanaume anatumia hiyo.misemo halafu hata aibu haoni,kuna maneno hayajakaa kiume mazee.
pia muulize anamjua aliyelileta hadi aseme ni la kikeUtapata tabu sana lina ukike gani mkuu
Anachotafuta atakipata ngoja akatishe Dodoma.Hapo umefeli sana hadi utapata tabu sana pia ni kosa kulitumia [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mwacho ajitoe ufahamAnachotafuta atakipata ngoja akatishe Dodoma.
Hapo umesema sawia kabisaUtapata tabu Sana sio baya ila hayo aliyobaki achunguzwe kama havai shanga
Utapata tabu sana ni usemi wa zamani sana hadi umekua usemi wa kike, upotezee tu mkuu.Kama hadi utapata tabu sana ni la kike acha niwe mwanamke tu
Hayo mengine sio kweli kabisa mwanaume kutumia
Sema wanaume wa dar wanashida sana
Usinikaushe 'uzazi' sihawahi kulisikia likisemwa popote.
Je hutumika kwenye maongezi ya aina gani?
Tengeneza sentensi ya mfano ulitumie nione linakaaje kimantiki!
Mtoa mada kasema new version ya hilo neno linatumika kishoga shoga hasa baada ya Wale wapuuzi wa Clouds kulishikilia bango kwenye kile kipindi chao"UTAPATA TABU SANA" Founder wake ni mwanaume kutoka mkoani....sijui una lipi la kusema hapo.......kwamba mkoani ndo wanaanzisha ama nini