Hapana. Pamoja na kwamba ni maajabu na siyo sawa mtoto kufika darasa la 3 na hajui kusoma wala kuandika. Hao walimu wanatakiwa wampe special programme ya kumfundisha na siyo kumrudisha nyumbani.Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule. Ya serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na kuambiwa kuwa mtoto hajui kusoma wala kuandika hivyo arudi akasomee nyumbani. Mzazi akarudishiwa makaratasi yote ya uhamisho na sasa mtoto yupo nyumbani. Je ni sahihi?
Ni sahihi 100% huyohuyo mzazi ndiye baadae atakaye wasema hao walimu pale mtoto wake atakapo shindwa kupita darasa la 4.Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule. Ya serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na kuambiwa kuwa mtoto hajui kusoma wala kuandika hivyo arudi akasomee nyumbani. Mzazi akarudishiwa makaratasi yote ya uhamisho na sasa mtoto yupo nyumbani. Je ni sahihi?
Kwenye hiyo special program akizidisha kiburi akachapwa viboko vi3 utakuja na kauli hizi tena?Hapana. Pamoja na kwamba ni maajabu na siyo sawa mtoto kufika darasa la 3 na hajui kusoma wala kuandika. Hao walimu wanatakiwa wampe special programme ya kumfundisha na siyo kumrudisha nyumbani. Sasa kama ni hivyo shule ziko kwa ajili gani? Hao wazazi wangeweza kumfundisha nyumbani wangeshafanya hivyo lakini inavyoonekana hawana uwezo huo.
Mzazi hewa huyo.Sio sahihi, na badala yake walimu walipaswa wamshauri mzazi amrudishe mwanae akaanze darasa la kwanza.
Lakini pia hapo naona kama ni uzembe wa mzazi kutokua mfuatiliaji wa maendeleo ya mwanae alipokua kwenye shule ya kulipia.
Mfuateni mkaungane naye, mnatuchosha na huyo mtu wenu!!Rip jpm,walimu walikuwa wanafanya kazi yao vyema si sasa,wamekaa kiupigaji na kimichongo
Kwenye hiyo special program akizidisha kiburi akachapwa viboko vi3 utakuja na kauli hizi tena?
Tatizo wewe siyo mwalimu. Viboko havifanyi mtoto ajue kusoma na kuandika na ni makosa kumchapa mtoto kwa kushindwa kusoma na kuandika. Ndiyo sababu huwa kuna mafunzo maalumu kwa walimu wanao-deal na watoto wadogo. Siyo watu tu kama Mnafiki Wa Kujitegemea wanapewa kufundisha watoto wadogo.Kwenye hiyo special program akizidisha kiburi akachapwa viboko vi3 utakuja na kauli hizi tena?
Wanaleta uchokozi. Wanavyomtukuza utadhani alikuwa kiumbe wa kipekee kuwahi kutokea kijijini kwao. Holy mackerel!Mfuateni mkaungane naye,mnatuchosha na huyo mtu wenu!!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Darasa la tatu hajui kusoma na kuandika, sasa huko shule za kulipia alikuwa analipia nini!?Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule. Ya serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na kuambiwa kuwa mtoto hajui kusoma wala kuandika hivyo arudi akasomee nyumbani.
Mzazi akarudishiwa makaratasi yote ya uhamisho na sasa mtoto yupo nyumbani. Je ni sahihi?
Ni sahihi kabisa.Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule. Ya serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na kuambiwa kuwa mtoto hajui kusoma wala kuandika hivyo arudi akasomee nyumbani.
Mzazi akarudishiwa makaratasi yote ya uhamisho na sasa mtoto yupo nyumbani. Je ni sahihi?
Jina la shule na jina la Mwalimu Mkuu tafadhali.Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule. Ya serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na kuambiwa kuwa mtoto hajui kusoma wala kuandika hivyo arudi akasomee nyumbani.
Mzazi akarudishiwa makaratasi yote ya uhamisho na sasa mtoto yupo nyumbani. Je ni sahihi?
Kumbe huko aliko pitia mpaka hapo walipo mkacha hakuna hao walimu maalumu?Tatizo wewe siyo mwalimu. Viboko havifanyi mtoto ajue kusoma na kuandika na ni makosa kumchapa mtoto kwa kushindwa kusoma na kuandika. Ndiyo sababu huwa kuna mafunzo maalumu kwa walimu wanao-deal na watoto wadogo. Siyo watu tu kama Mnafiki Wa Kujitegemea wanapewa kufundisha watoto wadogo.
Shule za kulipia walivyokuwa wanamuibia huyo mzazi ukute mtoto alikuwa anapata A's na B's kwa mbaaaaali C. Alafu wasimuonee huyo mtoto amerithi akili za baba yake, kupunguzwa kazini ni ishara ya uwezo mdogoMtoto ameondolewa/fukuzwa shule. Ya serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.