Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Kuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa makelele kupita hata huyo demu wake.

Sasa nimejiuliza hii ni kawaida kweli??, kikawaida na uzoefu wangu najua mwanaume anagugumia kimya kimya kwa sauti ndogo ila huyu jamaa yeye anapiga mikelelee hatari
 
Inategemea ana asili ya wapi. Wengine utamu kumoyo ukikolea kuguna suna ati
 
Back
Top Bottom