Hivi ni sawa kushea mswaki na mpenzi wako mume au mkeo

Kama nyote niwaaminifu kwenye mahusiano yenu ruksa ila kama mmoja wenu au wote wawili mna michepuko ni hatari kwa afya yenu
 
Hisia zikihemkwa akili huwa haifanyi kazi, kwa hiyo kama zako zinakuruhusu mkuu. Share tu huo mswaki ila kiafya sidhani kama ni sawa.
Hapana mkuu Vp kama siyo mwaminifu akaja na mdomo wake umetoka kunyonya dudu ya mchepuko
 
Hapana mkuu Vp kama siyo mwaminifu akaja na mdomo wake umetoka kunyonya dudu ya mchepuko
Ndio maana nikasema ni wewe na akili yako itakavyotaka. Mwisho wa siku, mambo ya faraghani hayashauriki kwa sababu kila mtu anafanya vile anavyoona ni sawa.

Na ukiyafikiria sana hayo hutoweza share hata vijiko na mashuka ya hotelini mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…